Rafiki elimu foundation vipi?

Rafiki elimu foundation vipi?

EPORA

Member
Joined
Apr 8, 2012
Posts
83
Reaction score
16
Habari wakuu,naomba mwenye taarifa kuhusu mafunzo yao ya septemba anijuze manake naona kimya sana na muda unakatika na watu tushatoa ada ya mafunzo.
Nawasilisha.
 
kwenye blog yao wamesema watatoa majina dar trh 28 saa 10 jioni ila ndo kimya ,mikoani watatutumia sms pia bado wako kimya, jaribu kuwapigia simu watakueleza. Ila tembelea blog yao mara kwa mara .
 
naomba munieleweshe kazi za hawa jamaa zikoje na rate zao zipo vp!!?
kwenye blog yao wamesema watatoa majina dar trh 28 saa 10 jioni ila ndo kimya ,mikoani watatutumia sms pia bado wako kimya, jaribu kuwapigia simu watakueleza. Ila tembelea blog yao mara kwa mara .
 
Duh tangu mwezi August bado unasubiria tu..ushatapeliwa mkuu.
 
Back
Top Bottom