Rafiki kutambulishwa kwa mke/mume/mchumba? IS IT REASONABLE?

Rafiki kutambulishwa kwa mke/mume/mchumba? IS IT REASONABLE?

Hahaha! Namba ya invizibo lazima uanze na sekyuriti kodi! Unazijua?

hahahah kumbe ndo maana kila nikipiga zinakuja kwako haya mpe msg huyo invizible kwamba rafiki FL1 anataka kumtambulisha kwa muzee wake
 
Hivi ile ya 112 ulishai-delete?
ninayo!si nina simu mbili?!😀
unamkumbuka yule jamaa mwenye simu mbili pale zero alijipinda kwa mtoto wa kishua?!agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!EMBARRASMENT GANI JAMANI!lol
 
ninayo!si nina simu mbili?!😀
unamkumbuka yule jamaa mwenye simu mbili pale zero alijipinda kwa mtoto wa kishua?!agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!EMBARRASMENT GANI JAMANI!lol

hahaha! nakumbuka na tukio la kukaa toilet kwa nusu saa!
 
Back
Top Bottom