Rafiki kutambulishwa kwa mke/mume/mchumba? IS IT REASONABLE?

Hahaha! Namba ya invizibo lazima uanze na sekyuriti kodi! Unazijua?

hahahah kumbe ndo maana kila nikipiga zinakuja kwako haya mpe msg huyo invizible kwamba rafiki FL1 anataka kumtambulisha kwa muzee wake
 
Hivi ile ya 112 ulishai-delete?
ninayo!si nina simu mbili?!😀
unamkumbuka yule jamaa mwenye simu mbili pale zero alijipinda kwa mtoto wa kishua?!agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!EMBARRASMENT GANI JAMANI!lol
 
ninayo!si nina simu mbili?!😀
unamkumbuka yule jamaa mwenye simu mbili pale zero alijipinda kwa mtoto wa kishua?!agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!EMBARRASMENT GANI JAMANI!lol

hahaha! nakumbuka na tukio la kukaa toilet kwa nusu saa!
 
hahaha police makao makuu tukusaidie ,,,,
yes afande namtafuta geoff -Invizible mala simu down
kwa heri
ha ha h hhahahahaha!
mkuu usikae sana online,kumbuka checking tym
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…