compressor
Member
- Nov 26, 2009
- 76
- 0
hatari ni kumtambulisha na si baada ya hapo kaka,je iwapo utatambulisha na baadae baada ya mwenzako kujua mengi kuhusiana na nyinyi akachepuka kimawazo?hatari huanzia hapoHatari gani wakati ni urafiki wa kawaida tu? Namleta nyumbani wife anampikia chai, wanapiga stori kama kawaida. Kuna hatari gani hapo?
..ZD, urafiki wa mashaka??
he he he he !mpwa mimi dada ako akinifanyia hilo ni lazima kuwe na justifications zinazoeleweka!otherwise PATACHIMBIKAEti Jamani:
Kwa wale wenye mahusiano ya dhati ya kimapenzi. Wenye ndoa zao na wachumba ambao wanatarajia kuingia kwenye ndoa. Au basi ma-boy/girl friends wenye mahusiano ya kingono.
Inawezekana mtu ukawa na rafiki wa jinsia tofauti. Urafiki kwa maana ya urafiki usiohusiana na mambo ya ngono. Mnapiga stori, mnabadilishana mawazo, mnashauriana mambo mengi, mnasaidiana kwa mambo mbalimbali na vitu kama hivyo (Carmel unalielewa hili, japokuwa urafiki wako ulivuka mipaka ukaibua ndoa.)
Je ni sahihi rafiki kama huyu kumtambulisha kwa mumeo/mkeo/mchumba? Yaani Carmel amtambulishe Geoff kwa mume wake kuwa huyu ni rafiki yangu. Au Fidel80 amtambulishe nyamayao kwa mkewe kuwa huyu ni rafiki yangu?
Nina rafiki yangu wa kike nataka nimtambulishe kwa wife, nahofia nisije nikazua msala.
CAN YOU? IS IT REASONABLE?
FL1 hebu nitajie title ya hii thread tafadhali!
teh teh teh tehhahaha wivu jamani mbaya ...compressor kaingia na upepo mkali sana
FL1 for the second time, nitajie title ya hii thread! Ebo! Am chairman!
Jamani kwa uzoefu wangu mdogo, hakuna urafiki wa kawaida wa watu wa jinsia 2 wa jinsi hii,hasa kwa wenye ndoa.Ni hatari na hakuna mwanamke au mwanaume yeyote anayeweza kuamini hili.Ni wachache saaaaaaaaaana kama sio sifuri.
ha ha ha Mkuu sijakwambia usimtambulishe...kumtambulisha muhimu nilichosema isiwe mazoea sana!! kwa sababu huna rafiki mmoja tu wa kike wapo wengi ila kwa nn kila siku lazima umtaje taje tu...kitu kidogo oh nanii aliniambia hivi oh jana tulikua zero pub!! hapoa mpwa unatafuta ugomvi!! kama kumtambulisha we mtambulishe tu!! hakuna tatizo!!Hahaha! Hapo mkuu umenivunja mbavu. Lakini mimi ni mwaminifu kwa mashemeji. Labda kama angekuwa Fidel. Sasa asipokuambia afu siku ukamkuta na fidel chawote bar wanakunywa mvinyo then akakuintrodyuzi huyu ni rafiki yangu itakuwaje. Si heri angekuambia mapema ujue moja?
ha ha ha ha ha!mpwa mimi nina mambo mengi sana moyoni nakwazika kuhusu hii post yako kwakweli!naomba nisiyataje hapa.tuonane ZERO....(ijumaa probably)inshort mimi hili swala patakuwa padogoZD wewe si rafiki wa kawaida na geoff, kaizer, fidel?
ZD wewe si rafiki wa kawaida na geoff, kaizer, fidel?
ndo nakwambia kama hakuna kuaminiana katika mahusiano yenu yote hayo yanaweza kutokea ..
wengine vicheche
Shemji ni tena? mimi ndio nakukwaza? niambie mwendhio!ha ha ha ha ha!mpwa mimi nina mambo mengi sana moyoni nakwazika kuhusu hii post yako kwakweli!naomba nisiyataje hapa.tuonane ZERO....(ijumaa probably)inshort mimi hili swala patakuwa padogo
mpwa hapana bana!Mpwaaa! Mpwa!!!! Sista hawezi kuwa rafiki wa kawaida wa nguli?
hatari ni kumtambulisha na si baada ya hapo kaka,je iwapo utatambulisha na baadae baada ya mwenzako kujua mengi kuhusiana na nyinyi akachepuka kimawazo?hatari huanzia hapo