Mmojawapo anashirikiana na shemejiye wananipigia simu/sms wanatukana we eti homebreaker! wakati mie ilikuwa ni urafiki tu,tena angenishukuru kwa vile nilikuwa namtwanga injili mumewe aokoke.
Hujawahi ona watu wanatambulishana kama marafiki kumbe wanabenjuana...??? Mtu yeyote aliyekaribu na mkeo/mumeo ana nafasi kubwa sana kukuchulia kuliko yule aliye mbali naye.Hatari gani wakati ni urafiki wa kawaida tu? Namleta nyumbani wife anampikia chai, wanapiga stori kama kawaida. Kuna hatari gani hapo?
Asilimia kama 99 wanaanza vizuri eti ushauri,urafiki lakini badae wanavuka mipaka,wanaume bana ,kazi kwelikweli.Nimesema tangu utotoni mpaka sasa. Kote ulikopitia mpaka ulipofikia. Hujawahi kuwa na marafiki wa kiume? Wote walikutongoza?
Mmojawapo anashirikiana na shemejiye wananipigia simu/sms wanatukana we eti homebreaker! wakati mie ilikuwa ni urafiki tu,tena angenishukuru kwa vile nilikuwa namtwanga injili mumewe aokoke.
haya ngoja nikatambulishe leo mambo yakienda kombo kesho nakujia na mapanga hapaSo whats the problem? Mtambulishe rafiki yako wa kike kwa mkeo. Si unajiamini na kuaminika bana?
haya ngoja nikatambulishe leo mambo yakienda kombo kesho nakujia na mapanga hapa
Hahahaha! Umekula SENKSI! Inategemea utakavyo introdyuzi lakini! Hahaha! LOL! Na inategemea utakayemtambulisha, isije ikawa unatambulisha kibustani, manake tabia zao huwa hazijifichi. Kwa mtindo huo ukila mkong'oto afu uje na mapanga ntakurudisha na n'chale.
THANKS Iribini once again, nadhani compressor umejibika, Iribini hadi mlegend wangu mbona anamfahamu??? hahaaaaa
Compressor tukiwa marafiki ntakuintroduce usijali...
Yani tukio mojawapo imetokea nyumbani kwake huyo kaka,Hata intro haijaanza,wacha waanze kurushiana magumi,Nani huyu nakwambia!!!!! utanieleza leo!!!.Sijui walikuwa na ugomvi wa siku nyingi? Halafu nilikuwa mgeni maskini hapa mjini hata manzese sipajui,wangeniua sijui ingekuwaje,wacha nikimbie nje haraka, yani hatari sana.Inategemea ulikuwa unampigia wapi hiyo injili. Hahaha! Pole sana. Na wao ungewapigia au kutatumia sms waokoke! Namba zako za simu walizipatia wapi? Inawezekana hukuwa introduced kwa mke wake ndiyo maana. Ungekuwa introduced wasingekutukana, sasa hivi wangekuwa wameshaokoka. Unaona umuhimu wa introduction sasa?
umeona sasa unaanza kuweka ulakini katika mpango mzima wa kujitambulisha.ndiomana nikasita,inategemea pia yeye atatafsiri vipi,kaka kuna kamchezo flani cha kimarekani nilipata kukaona kanaitwa Brown sugar,mambo yalikuwa magumu mwishowe.pamoja kulikuwa na makosa madogomadogoHahahaha! Umekula SENKSI! Inategemea utakavyo introdyuzi lakini! Hahaha! LOL! Na inategemea utakayemtambulisha, isije ikawa unatambulisha kibustani, manake tabia zao huwa hazijifichi. Kwa mtindo huo ukila mkong'oto afu uje na mapanga ntakurudisha na n'chale.
Mambo gani hayo umesema umenigongea senksi kumbe hola! We ni mchoyo wa senksi au na vingine?
shem batani ni ngumu niliigonga kumbe haikufanza mambo but just didi it!!!
u can imagine 'senks' zinatoka kwa bajeti je hivyo vingine inakuwaje??? hahaaaa
Kwani hii thread tittle yake ni ipi? hebu nikumbusheni jamaniMambo gani hayo umesema umenigongea senksi kumbe hola! We ni mchoyo wa senksi au na vingine?
teh teh teh tehh teh teh tehshem batani ni ngumu niliigonga kumbe haikufanza mambo but just didi it!!!
u can imagine 'senks' zinatoka kwa bajeti je hivyo vingine inakuwaje??? hahaaaa
Kwani hii thread tittle yake ni ipi? hebu nikumbusheni jamani
teh teh teh tehh teh teh teh
Crispin, huo utambulisho unaotaka kuufanya ni hatari sana...Utamfanya mamsap wako akose raha kwa sababu ya huyo rafiki yako wa kike. Kama unabisha kajaribu leo uone bifu litakalo tokea.