Rafiki mnafiki

Dah...! Buji nitafanya kolabo nawe tutoe singo
 
Nipe dili ili ukinunu bia nami ninunue nyama choma.

Safi kabisa kuliko kumtegemea mtu Ni bora mtegemeane na msaidiane
Waswahili wanasema ukitaka kwenda mbali, nenda Na mwenzako.
Ukianguka yupo wa kukuinua, ukivunjika moyo yupo wa kukufariji.
Umoja ni nguvu
 
Nikupe dili ama bili?
Si una akili?
Kama huna tumia mwili,
Weita leta mbili mbili,
Balimi au safari.
Sitaki Shari
Maisha kamali
Safari
Ya mbali,
Usiende stendi kwa gari
Ni kanisani ukasali.
Muombe Mungu akupe ulijali
Usiwe tapeli
Wahuni we feri
Watakuchoma moto hatari.


Chorus

Nikupe bili au dili?X2
Nakuangalia nasema hiiiihiiii
Nkikupa dili utafungwa, mkeo atanyongwa na wanao watatengwa.
Kula vyombo na utumbo wa kuchoma kwa Rambo mzee wa majambo.

Verse

Dili dirisha
Unaweza pita mwisho ukaisha
Haya ni maisha
Usipende kubisha
Sorry
Weita bia badilisha
Leta Vant na Konyagi kabisaaa.................

Aiseee nashindwa kuendelea mjukuu kajisaidia ngoja nkamsafishe ntarudi labda....
 
Umetishaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…