Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Usinipe bia nipe Dili.
Unanipa bia ili iweje, nipe Dili Bwana.
Nipe Dili ili ukinunua bia mimi ninunue nyama choma.
Kwanini hutaki team Work?
Kwanini wewe hutaki nami niwe Na changu?
Kwanini unataka niendelee kuwa mpambe wako?
Kwanini unataka kuendelea kunitumikisha?
Nipe Dili usinipe bia.