Rafiki, mpenzi atakae kuwa Mume

Rafiki, mpenzi atakae kuwa Mume

bianca2023

Member
Joined
Apr 6, 2023
Posts
98
Reaction score
222
Kwa aliye tayari kwenda kwenye hatua hii.

Najua wengi mtajiuliza kama huko mtaani sikutani na wanaume, kwanza wanaume wapo wengi mtaani lakini kutokana na nature yangu mimi mizunguko yangu huwa ni kwenye shughuli zangu na kurudi home.

Ninao kutana nao wengi kwanza hawaamini kama nipo single na wengine ni waume za watu hivyo inanipa wakati mgumu naishia kubaki single.

Umefika muda nataka kutulia kuwa mke kwa mume na mama wa familia, nitafurahi kama nikipata mtu mwenye interest hizo. Najua kuna wanaume wengi tu wapo tayari kuoa lakini kwenye circle yao hawaoni watu walio tayari kama ilivyo upande wangu.

Naomba niweke vitu vya muhimu ambavyo ningependa muhusika awe navyo angalau;

Vigezo

1) Awe anaishi Dar preferably, mikoa mingine long distance relationship ni tatizo, Dar atapewa kipaumbele zaidi.

2) Awe na kipato stable cha kumudu familia yake, nikimaanisha kuanzisha familia isiwe mzigo kwake, au mpaka ajipange. Mtu ninaemuongelea hapa ni ameshajipanga kuoa.

3) Awe ni mtu ana utu na hofu ya Mungu, mkristu R.C Au K.K.T itapendeza.

5) Mrefu asiwe chini ya 170cm.

6) Ambae hana mtoto au kama ana mtoto mmoja akizidi mmoja ni changamoto haswa kama kwa mama wawili tofauti.

7) Umri miaka 30 na kuendelea.

8) Awe mtafutaji, amechangamka. Kuna wanaume wapo wamezubaa jamani, mtu anaeridhika na maisha kirahisi itakuwa changamoto maana mimi nipo sharp, pia nikipata sharp mwenzangu tutaenda sawa.

9) Awe ni mtu ambae ana vision ya kuwa na familia,I am a family person. Kama wote tuna nia moja kila mtu ameamua kutulia naamini inawezekana.

Sifa zangu

~ Ni mrefu, maji ya kunde, umbo la wastani; sio mwembamba sio mnene, umri miaka 29
~ Nimejiajiri.
~ Sina mtoto.
~ Mcheshi kiasi, mkimya kiasi.
~ Mengine tutaelewana tukishaongea Mungu akijalia huko mbele
 
Yaani wote unakutana nao ni waume za watu? Umejiajiri porini ambako hukutani na wanawaume, hao unaokutana nao huko ndio Hawa Hawa humu waume za watu, wanaotaka mseleleko, mbususu hunters, wanaume wa kuoa ndio hao hao
 
Kwa aliye tayari kwenda kwenye hatua hii.

Najua wengi mtajiuliza kama huko mtaani sikutani na wanaume, kwanza wanaume wapo wengi mtaani lakini kutokana na nature yangu mimi mizunguko yangu huwa ni kwenye shughuli zangu na kurudi home.

Ninao kutana nao wengi kwanza hawaamini kama nipo single na wengine ni waume za watu hivyo inanipa wakati mgumu naishia kubaki single.

Umefika muda nataka kutulia kuwa mke kwa mume na mama wa familia, nitafurahi kama nikipata mtu mwenye interest hizo. Najua kuna wanaume wengi tu wapo tayari kuoa lakini kwenye circle yao hawaoni watu walio tayari kama ilivyo upande wangu.

Naomba niweke vitu vya muhimu ambavyo ningependa muhusika awe navyo angalau;

Vigezo

1) Awe anaishi Dar preferably, mikoa mingine long distance relationship ni tatizo, Dar atapewa kipaumbele zaidi.

2) Awe na kipato stable cha kumudu familia yake, nikimaanisha kuanzisha familia isiwe mzigo kwake, au mpaka ajipange. Mtu ninaemuongelea hapa ni ameshajipanga kuoa.

3) Awe ni mtu ana utu na hofu ya Mungu, mkristu R.C Au K.K.T itapendeza.

5) Mrefu asiwe chini ya 170cm.

6) Ambae hana mtoto au kama ana mtoto mmoja akizidi mmoja ni changamoto haswa kama kwa mama wawili tofauti.

7) Umri miaka 30 na kuendelea.

8) Awe mtafutaji, amechangamka. Kuna wanaume wapo wamezubaa jamani, mtu anaeridhika na maisha kirahisi itakuwa changamoto maana mimi nipo sharp, pia nikipata sharp mwenzangu tutaenda sawa.

9) Awe ni mtu ambae ana vision ya kuwa na familia,I am a family person. Kama wote tuna nia moja kila mtu ameamua kutulia naamini inawezekana.

Sifa zangu

~ Ni mrefu, maji ya kunde, umbo la wastani; sio mwembamba sio mnene, umri miaka 29
~ Nimejiajiri.
~ Sina mtoto.
~ Mcheshi kiasi, mkimya kiasi.
~ Mengine tutaelewana tukishaongea Mungu akijalia huko mbele
Wewe utanifaaa...njoo pm tuanzishe familia. Nina hamu yakuitwa baba kwa kweli.
 
Una tako?

Una tako?
.
JamiiForums-2066617636.jpg
 
Kila la heri Mwenyezi Mungu akusimamie tangu 2021 badooo
 
Umejoin leo kwa ajil ya kutafuta mwenza wako humu?
 
wanaume wapo wengi mtaani lakini kutokana na nature yangu mimi mizunguko yangu huwa ni kwenye shughuli zangu na kurudi home.
Jichanganye mkuu, huko kwenye mishe zako, kanisani, kwenye events mbalimbali utapata. Maana hata maandiko yanasema tafuteni mtapata, ombeni mtapewa na bisheni mtafunguliwa.
Mungu akupe hitaji la moyo wako.
 
Back
Top Bottom