HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Sasa kama mtaa mzima ushafunua wategemea nn?Waliopo mtaani ndo waliopo huku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama mtaa mzima ushafunua wategemea nn?Waliopo mtaani ndo waliopo huku.
170cm ya nn aseeeKwa aliye tayari kwenda kwenye hatua hii.
Najua wengi mtajiuliza kama huko mtaani sikutani na wanaume, kwanza wanaume wapo wengi mtaani lakini kutokana na nature yangu mimi mizunguko yangu huwa ni kwenye shughuli zangu na kurudi home.
Ninao kutana nao wengi kwanza hawaamini kama nipo single na wengine ni waume za watu hivyo inanipa wakati mgumu naishia kubaki single.
Umefika muda nataka kutulia kuwa mke kwa mume na mama wa familia, nitafurahi kama nikipata mtu mwenye interest hizo. Najua kuna wanaume wengi tu wapo tayari kuoa lakini kwenye circle yao hawaoni watu walio tayari kama ilivyo upande wangu.
Naomba niweke vitu vya muhimu ambavyo ningependa muhusika awe navyo angalau;
Vigezo
1) Awe anaishi Dar preferably, mikoa mingine long distance relationship ni tatizo, Dar atapewa kipaumbele zaidi.
2) Awe na kipato stable cha kumudu familia yake, nikimaanisha kuanzisha familia isiwe mzigo kwake, au mpaka ajipange. Mtu ninaemuongelea hapa ni ameshajipanga kuoa.
3) Awe ni mtu ana utu na hofu ya Mungu, mkristu R.C Au K.K.T itapendeza.
5) Mrefu asiwe chini ya 170cm.
6) Ambae hana mtoto au kama ana mtoto mmoja akizidi mmoja ni changamoto haswa kama kwa mama wawili tofauti.
7) Umri miaka 30 na kuendelea.
8) Awe mtafutaji, amechangamka. Kuna wanaume wapo wamezubaa jamani, mtu anaeridhika na maisha kirahisi itakuwa changamoto maana mimi nipo sharp, pia nikipata sharp mwenzangu tutaenda sawa.
9) Awe ni mtu ambae ana vision ya kuwa na familia,I am a family person. Kama wote tuna nia moja kila mtu ameamua kutulia naamini inawezekana.
Sifa zangu
~ Ni mrefu, maji ya kunde, umbo la wastani; sio mwembamba sio mnene, umri miaka 29
~ Nimejiajiri.
~ Sina mtoto.
~ Mcheshi kiasi, mkimya kiasi.
~ Mengine tutaelewana tukishaongea Mungu akijalia huko mbele
Good questionUna tako?
Msharp na msharp hawakai pamoja. Mjanja na mjanja vivyo hivo. Mchacharikaji na mchacharikaji.....Kwa aliye tayari kwenda kwenye hatua hii.

ukiona demu kaji describe "maji ya kunde" kimbia🤣 ,binadamu gani ana rangi ya kundeWe ni mbaya kiasi hicho ?
Nenda kwa mwamposa,,mwanamke kuwa single karne hii ni tatizoKwa aliye tayari kwenda kwenye hatua hii.
Najua wengi mtajiuliza kama huko mtaani sikutani na wanaume, kwanza wanaume wapo wengi mtaani lakini kutokana na nature yangu mimi mizunguko yangu huwa ni kwenye shughuli zangu na kurudi home.
Ninao kutana nao wengi kwanza hawaamini kama nipo single na wengine ni waume za watu hivyo inanipa wakati mgumu naishia kubaki single.
Umefika muda nataka kutulia kuwa mke kwa mume na mama wa familia, nitafurahi kama nikipata mtu mwenye interest hizo. Najua kuna wanaume wengi tu wapo tayari kuoa lakini kwenye circle yao hawaoni watu walio tayari kama ilivyo upande wangu.
Naomba niweke vitu vya muhimu ambavyo ningependa muhusika awe navyo angalau;
Vigezo
1) Awe anaishi Dar preferably, mikoa mingine long distance relationship ni tatizo, Dar atapewa kipaumbele zaidi.
2) Awe na kipato stable cha kumudu familia yake, nikimaanisha kuanzisha familia isiwe mzigo kwake, au mpaka ajipange. Mtu ninaemuongelea hapa ni ameshajipanga kuoa.
3) Awe ni mtu ana utu na hofu ya Mungu, mkristu R.C Au K.K.T itapendeza.
5) Mrefu asiwe chini ya 170cm.
6) Ambae hana mtoto au kama ana mtoto mmoja akizidi mmoja ni changamoto haswa kama kwa mama wawili tofauti.
7) Umri miaka 30 na kuendelea.
8) Awe mtafutaji, amechangamka. Kuna wanaume wapo wamezubaa jamani, mtu anaeridhika na maisha kirahisi itakuwa changamoto maana mimi nipo sharp, pia nikipata sharp mwenzangu tutaenda sawa.
9) Awe ni mtu ambae ana vision ya kuwa na familia,I am a family person. Kama wote tuna nia moja kila mtu ameamua kutulia naamini inawezekana.
Sifa zangu
~ Ni mrefu, maji ya kunde, umbo la wastani; sio mwembamba sio mnene, umri miaka 29
~ Nimejiajiri.
~ Sina mtoto.
~ Mcheshi kiasi, mkimya kiasi.
~ Mengine tutaelewana tukishaongea Mungu akijalia huko mbele
Ukitafuta mchumba ukianza kuweka tu wajihi/ maumbile unaonekana haupo serious yawezekana hujapata mtu kwakuwa ulichagua warefu ukawakosaKwa aliye tayari kwenda kwenye hatua hii.
Najua wengi mtajiuliza kama huko mtaani sikutani na wanaume, kwanza wanaume wapo wengi mtaani lakini kutokana na nature yangu mimi mizunguko yangu huwa ni kwenye shughuli zangu na kurudi home.
Ninao kutana nao wengi kwanza hawaamini kama nipo single na wengine ni waume za watu hivyo inanipa wakati mgumu naishia kubaki single.
Umefika muda nataka kutulia kuwa mke kwa mume na mama wa familia, nitafurahi kama nikipata mtu mwenye interest hizo. Najua kuna wanaume wengi tu wapo tayari kuoa lakini kwenye circle yao hawaoni watu walio tayari kama ilivyo upande wangu.
Naomba niweke vitu vya muhimu ambavyo ningependa muhusika awe navyo angalau;
Vigezo
1) Awe anaishi Dar preferably, mikoa mingine long distance relationship ni tatizo, Dar atapewa kipaumbele zaidi.
2) Awe na kipato stable cha kumudu familia yake, nikimaanisha kuanzisha familia isiwe mzigo kwake, au mpaka ajipange. Mtu ninaemuongelea hapa ni ameshajipanga kuoa.
3) Awe ni mtu ana utu na hofu ya Mungu, mkristu R.C Au K.K.T itapendeza.
5) Mrefu asiwe chini ya 170cm.
6) Ambae hana mtoto au kama ana mtoto mmoja akizidi mmoja ni changamoto haswa kama kwa mama wawili tofauti.
7) Umri miaka 30 na kuendelea.
8) Awe mtafutaji, amechangamka. Kuna wanaume wapo wamezubaa jamani, mtu anaeridhika na maisha kirahisi itakuwa changamoto maana mimi nipo sharp, pia nikipata sharp mwenzangu tutaenda sawa.
9) Awe ni mtu ambae ana vision ya kuwa na familia,I am a family person. Kama wote tuna nia moja kila mtu ameamua kutulia naamini inawezekana.
Sifa zangu
~ Ni mrefu, maji ya kunde, umbo la wastani; sio mwembamba sio mnene, umri miaka 29
~ Nimejiajiri.
~ Sina mtoto.
~ Mcheshi kiasi, mkimya kiasi.
~ Mengine tutaelewana tukishaongea Mungu akijalia huko mbele
Hahahaukiona demu kaji describe "maji ya kunde" kimbia🤣 ,binadamu gani ana rangi ya kunde
wengine ni wale wanataka mwanaume mwenye "hofu ya mungu" kwani kuna mwanaume mwenye akili timamu hana
Unatakiwa useme tu unatafuta mume coz mtakutana utamuonq . Unaweza ukampata huyo mrefu lakini Mario au mzinzi nkHahaha
Hapa ndo wanapokosea, ni bora wasitaje hivyo vigezo alafu huko pm ndo wapembue, binafsi ukishaniambia nataka mtu mwenye uchumi imara nakukachaUnatakiwa useme tu unatafuta mume coz mtakutana utamuonq . Unaweza ukampata huyo mrefu lakini Mario au mzinzi nk
naam, ushachoropoa za kutosha~ Sina mtoto.