Rafiki, mpenzi atakae kuwa Mume

170cm ya nn aseee

Sisi wenye 156cm tutajificha wapi we Kelsea mbona hampendi wanaume wafupi nyie 😭😭😭😭😭😭
 
Msharp na msharp hawakai pamoja. Mjanja na mjanja vivyo hivo. Mchacharikaji na mchacharikaji.....
 
Nenda kwa mwamposa,,mwanamke kuwa single karne hii ni tatizo
 
Ukitafuta mchumba ukianza kuweka tu wajihi/ maumbile unaonekana haupo serious yawezekana hujapata mtu kwakuwa ulichagua warefu ukawakosa
 
Mtihani mkubwa wa kutafutana kupitia jamii forums uko sehemu moja tu; mhusika A analazimika kutengeneza picha ya mhusika B, kupitia imagination!!

Hii inajenga hofu. Maana mnaweza mkakutana, halafu upande mmoja ukashindwa kuuelewa upande wa pili. Na hapa ndipo tatizo la kuumizana hisia, litakapo tokea.
 
Wenye uchumi imara tayari wana wao, tafuta asiye nao mtafute au ukubali ku shea
 
Unatakiwa useme tu unatafuta mume coz mtakutana utamuonq . Unaweza ukampata huyo mrefu lakini Mario au mzinzi nk
Hapa ndo wanapokosea, ni bora wasitaje hivyo vigezo alafu huko pm ndo wapembue, binafsi ukishaniambia nataka mtu mwenye uchumi imara nakukacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…