Sawa mkuu.Majibu ya maswali yako yapo kwenye wimbo wa Langa unaitwa Rafiki wa kweli
View attachment 2532902
Ndio maana nimeuliza kwanza mkuu kuhusu maana ya rafiki na kivipi unaweza kumtambua ili niweze kufahamu kwa undani kuhusu hili swala.Wewe ujawahii kuwa na rafiki mkuu
Tuendele kusubiri wanaojua walete michango mkuuNdio maana nimeuliza kwanza mkuu kuhusu maana ya rafiki na ki vipi unaweza kumtambua ili niweze kufahamu kwa undani kuhusu hili swala.
Kwa sasa sina jibu la moja kwa moja kwa swali lako, kwa kuwa hata maana ya neno siifahamu kiundani.
Asante mkuuRafiki,ni dhana pana Kwa kiwango changu cha uelewa rafiki ni zawadi toka kwa Mungu, Unaweza kuwa na mke au mme mkawa marafiki , uweza kuwa na watoto au mtoto akawa rafiki yako ,kwa ufupi rafiki yako hukopi wala humkopeshi, unambebea ,anakubebea pia rafiki aweza kuwa tajiri au maskini ,Dunia ya Leo inapima urafiki kupitia vipato,pesaro nk.