rafiki, rafiki, rafiki.

rafiki, rafiki, rafiki.

rugwebe78

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
265
Reaction score
78
habari wadau, mimi ni msichana mwenye sura mbaya kadiri ya maoni ya wengi, umbo baya, lakini roho ya ukatili sina na ni mcheshi, kugombana na mtu sijui. nataka rafiki wa kiume awe na umri miaka 36-40. karibuni wanaume kwa bintimbaya.
 
wewe utakua ni mzuri sana..... me nimekuelewa vizuri sana dada yangu... ila urafiki haungaliii umri... unakumbuka urafiki wa Nathan na Daudi ktk bible??? umri wao haukua tatizo.. mimi nipo radhi tuwe marafiki ingawa umri uliotaja hapo sijafikia... twende PM??????
 
Hongera kwa kujitambua japo bado hujatambulika
 
wewe utakua ni mzuri sana..... me nimekuelewa vizuri sana dada yangu... ila urafiki haungaliii umri... unakumbuka urafiki wa Nathan na Daudi ktk bible??? umri wao haukua tatizo.. mimi nipo radhi tuwe marafiki ingawa umri uliotaja hapo sijafikia... twende PM??????

kwakuwa walengwa hawataki, basi karibuni nyote
 
kumbe wakubwa tu basi piteni mi nipo nasubiri
 
ndo maana nikaweka sifa zote, za nje na moyoni. au hujasoma vizuri?

ungesema za ndani za nje ukatuachia nasi tuwe huru kwa tathimin maana kizuri au kibaya kiko machoni mwa muonaji
 
Back
Top Bottom