Rafiki tuliyezoeana muda mrefu kapunguza mawasiliano na mimi, ni wiki mwezi tangu nifungue biashara karibu na ofisini kwake je, ndio chanzo?

Rafiki tuliyezoeana muda mrefu kapunguza mawasiliano na mimi, ni wiki mwezi tangu nifungue biashara karibu na ofisini kwake je, ndio chanzo?

Rafiki yako unashindwa kumuuliza kulikoni hadi uje utuulize sisi jamani au unataka tuanze kumsengenya ili usikie raha.
Inawezekana ikawa ni njia ya kuutambulisha ukwasi wake JF!
 
LAW 2: NEVER PUT TOO MUCH TRUST IN FRIENDS, LEARN HOW TO USE ENEMIES.
 
Back
Top Bottom