Rafiki vs Mpenzi

Rafiki vs Mpenzi

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
463
Reaction score
1,009
Natatua case kati ya marafiki zangu wawili; wote ni wanaume na best friends since primary kabla hata sijakutana nao; sasa Rafiki A alikuwa ana kazi sehemu fulan kubwa na alimuahidi Rafiki B kwa muda mref kukitokea upenyo atamuingiza; but ghafla kakutana na mwanamke in less than a month then akamuambia rafiki yetu ile nafasi haipo tena.

Boom rafiki yetu B kagundua kumbe yeye kapigwa chini best friend wake since primary na amewahi kumsaidia vitu kibao including mara moja kuuza laptop yake kumpa ada alivyobet.

Leo kapigwa chini iyo tender kwa mwanamke aliyemjua kwa chini ya mwezi. Mpaka sasa Rafiki B hataki kuongea wala kumsikia Rafiki A na Rafiki A anataka nimsaidie; nifanye nn🤣🤣🤣🤣?
 
Back
Top Bottom