RAFIKI vs NDUGU

RAFIKI vs NDUGU

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
16,464
Reaction score
35,629
IMG-20240924-WA0035.jpg

Rafiki:Ni mtu unayemwamini katika maisha ya kila siku.Kuna tofauti kubwa kati ya RAFIKI na NDUGU.

👉Una nafasi na uamuzi wa kuchagua RAFIKI utakaye mwamini na yeye kukuamini katika maisha ya kila siku lakini huna nafasi wala uamuzi wa kuchagua ndugu,kwamaana ndugu yako ni mtu yeyote yule uliechangia nae damu mfano binam,mjomba,kaka,Dada,nk.Katika mkusanyiko wa ndugu zako kuna wanaokupenda na wanaokuchukia..kuna wanaofurahia mafanikio yako na kuna wanaochukia kikuona ukifanikiwa...kuna wanaopenda kukuona ukiwa nafuraha na kuna wanaopenda kukuona ukiwa na huzuni...kuna wanaopenda kutangaza mema yako na kuna wanaopenda kutangaza mabaya yako....kuna wanaokujali na kuna wanaokudharau.Wote hao ni ndugu zako huna nafasi ya kuchagua yupi awe ndugu yako na yupi asiwe ndugu yako ilihali mnachangia damu basi tayari ashakuwa ndugu yako.
Lakini ukija upande wa RAFIKI wewe unanafasi kubwa ya kuchagua yupi awe rafiki yako na yupi asiwe rafiki yako unaweza ukachagua rafiki kati ya hao ndugu zako mnaochangia damu au ukapata rafiki tofauti na ndugu zako mnaochangia damu yote hiyo ni juu ya maamuzi yako.Rafiki atakusaidia kufikia ndoto zako pia anaweza akawa ndio mtu wako wakwanza kumwelezea matatizo uliyonayo kabla hata ya kuyafikisha kwa ndugu zako

RAFIKI WA KWELI ni yupi!?

🚶Ni yule anayeweza kusimama na wewe wakati watu wengine wame kutenga na kukukimbia
🚶Ni yule ambaye anakufichia aibu
🚶Ni yule ambaye hapendi kukuona ukiharibikiwa
🚶Ni yule ambaye hata mkigombana hakuombei dua mbaya
🚶Ni yule ambaye anakuwazia mema
🚶Ni yule ambaye yupo nawewe wakati wa shida na raha
KWANINI NIMEONGELEA HILI JAMBO
Watu wengi sana wamekuwa wakiishia pabaya kwakuchagua marafiki ambao sio wazuri...marafiki wenye mashauri mabaya...marafiki wenye maadali mabovu....marafiki wanafiki...marafiki wasiowapenda...kuchagua rafiki kwasbabu anakitu fulani
Jitahidi kuchagua rafiki ambaye atakuwa na wewe katika hali zote

TURUDI UPANDE WA NDUGU
Waheshimu ndugu zako wajali na uwapende usijaribu kumdhrau ndugu yako kwasababu una RAFIKI anayekujali,ndugu yako ni ndugu yako tuu hata kama yeye hakujali wala hakupendi we mjali na shirikiana nae katika mambo yote ya kifamilia....
Apart from my parents I have a lot of relatives who really love me and show a great care no one to mention

By Mr chakushangaza
 
View attachment 3105451

Trust nobody in this world
Over
 
Back
Top Bottom