Rafiki wa karibu ni wewe mwenyewe na wazazi wako waliokuzaa

Rafiki wa karibu ni wewe mwenyewe na wazazi wako waliokuzaa

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
8,406
Reaction score
9,619
Wakuu uwepo wa Mungu upo juu yenu

Kwenye mada moja kwa moja wakuu

Naomba kuweka hili jambo wazi, rafiki yako ni wewe mwenyewe, ongeza na wazazi wako basi.

Unaweza kuwa na rafiki wa karibu wakakutenda, unaweza kuwa na ndugu wa karibu aka kutenda ila wewe mwenyewe huwezi ukajitenda, baba yako au mama yako ni viigum kukutenda japo inaweza tokea. TUMEONA tukio la malaika kule kagera.⁷

Mpaka sasa naandika uzi huu Tanzania ipo kwenye vita ya raia na vyombo vya dola ,namanisha nini hapa!

Kuna kijana alitekwa na kutupwa huko hifadhi ya Katavi na yuko na maumivu makubwa sana , je nani aweza kuwa na ujasiri huu kama hana baraka ya juu? Tafakari hii

Mwenye amri nchi hii ya kutangaza hari ya hatari ni Rais wa JMT basi, ikiwezekana afanye hivyo, tusije kuwa tunalaum vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, kumbe wapo watu toka nje ya nchi yetu wakifanya umafia wa namna hii.

Aliekua diwani na Mayor wa Dar ndugu Boniface ( ak.a bony yai ) ametoa orodha ya watu waliopotea pitia mtandao wa × zamani tweeter .

Sasa ni muda wa vyombo vyetu toa majibu wako wapi? Vinginevyo tutawatuhum moja kwa moja , naiona hatari kuu pindi wanyonge wakihamua tafuta haki zao kwa jasho na damu

Thanks

HII UKUFIKIE
1. IGP
2. CDF
3.RAIS WA NCHI
 
nilipoona umewaweka wazazi kama watu wako wa karibu nikatoa mnyuso wa shetani, hivi unajua kibongo bongo kwenye familia na koo nyingi alie napesa ndio anasikilizwa? unaweza kua mkubwa namvi tele kwenye kikao cha familia ukaamrishwa ukapokie chai wageni ni vile huna mtonyo
 
Leo una Joto
 
Back
Top Bottom