Rafiki wa kawaida wa kike anahitajika

Rafiki wa kawaida wa kike anahitajika

Rafiki wa kawaida [emoji23] [emoji23] kama kupika chips msibani
[HASHTAG]#Haiwezekani[/HASHTAG]
 
Hiyo haina mahusiano na ninachohitaji na hata nikikuambia hasaidii kitu kwakuwa huwezi prove kama ni kweli au la. Chamsingi nahitaji rafiki wa kawaida wa kike mwenye kujielewa kuwa yeye ni mwanamke haswa.
Unaonekana unachokitafuta hukijui we andika tu nafuta mchumba, rafiki wakike hata ndugu yako jiran mtoto wa mjomba
 
mkuu kuna mwaka fulani uliweka bango la kuhitaji rafiki wa kike hukufanikiwa ? mliishia wapi ? hakukidhi vigezo ?
dizaini kaumri kamesogea, huna familia ? najitahidi sana nisiruke steji nisije umbuka.

haka kambinu ulikokatumia kuonekana huishi tz katakusaidia, all the best.
Duh!
 
Back
Top Bottom