Rafiki wa kawaida wa kike anahitajika

Rafiki wa kawaida [emoji23] [emoji23] kama kupika chips msibani
[HASHTAG]#Haiwezekani[/HASHTAG]
 
Hiyo haina mahusiano na ninachohitaji na hata nikikuambia hasaidii kitu kwakuwa huwezi prove kama ni kweli au la. Chamsingi nahitaji rafiki wa kawaida wa kike mwenye kujielewa kuwa yeye ni mwanamke haswa.
Unaonekana unachokitafuta hukijui we andika tu nafuta mchumba, rafiki wakike hata ndugu yako jiran mtoto wa mjomba
 
Duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…