Mtundu wa Tech
JF-Expert Member
- Aug 19, 2019
- 642
- 609
Kwahiyo mkuu, unamtegemea mwanamke ili kupunguza stress ??
Muwe mnachati kwa binary au sio.? Ukipata wawili nipunguzie mmoja
[emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa bhaana.
Mambo ya sex me siyapi sana kipaumbele mzee baba. Me nataka kuwaweka wanawake wawe karibu sana na hizi IT issues maana wengi huwa tunatofautisha kati ya IT na OT
Huyapi kipaumbele, je ukipewa unakataa au...?[emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa bhaana.
Mambo ya sex me siyapi sana kipaumbele mzee baba. Me nataka kuwaweka wanawake wawe karibu sana na hizi IT issues maana wengi huwa tunatofautisha kati ya IT na OT
Nime ipenda mbinu yako na STAILI umeyo tumia.....!Mimi ni mwanaume mpenda mambo ya Teknolojia hasa hasa kwenye software.
Napenda sana kumpata rafiki wa kike wa kuchat nae kama kupunguza stress tu za mizunguko.
Kwa yeyote alie tayari ani-PM tu.
Sichagui umri yeyote awe bint au mama mtu mzima sawa tu maana ninachopenda sana mimi ni kuchat huku nikishare nae kuhusu hizi Tech Tricks na kuunda Tech Tricks Team(T3)
Hao wanawake kama wao wanayapa kipaumbele mambo ya sex na tech utawaacha kwelii mtaalamu
Huyapi kipaumbele, je ukipewa unakataa au...?
Nime ipenda mbinu yako na STAILI umeyo tumia.....!
KUPATA WA KUPUNGUZA STRESS
But humu utajiongezea tu stress
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]