Rafiki wa kike atakae kuwa mke

Rafiki wa kike atakae kuwa mke

eljouf

Member
Joined
Aug 21, 2015
Posts
70
Reaction score
27
Natafuta rafiki wa kike aliye nautayari ambaye twaweza jenga mahusiano thabit yatakayo lenga kuishia ndoani.
Nimtaftae awe vyovyote vile mradi tu awe anajielewa na kujiheshimu na awe na kazi inayo muingizia kipato plus
Umri 20-25
Dini yoyote
Awe anaishi dar na ama karibu na hapo

Kuhusu mie
Umri 30
Muajiliwa
Naishi dar

Zaid karibu pm
 
Back
Top Bottom