raia_mwema
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 479
- 314
Kwa mara nyingne najitokeza hapa.... Natafuta rafiki wa kike... Umri wangu ni 27yrs.... Elimu yangu ni ya chuo kikuu... Rangi yangu ni maji ya kunde... I am tall 182cm high, sio mwembamba wala sio mnene.... Gal yeyote atakayependa kuwa rafiki na mim ani pm...tafadhali wadada jitokezeni