Rafiki wa kike mwenye focus ya maisha

Rafiki wa kike mwenye focus ya maisha

lukeloisaac

Member
Joined
Dec 8, 2016
Posts
5
Reaction score
5
Nahitaji kuwa na rafiki mmoja wa kike umri usizid 30 years mwenye focus nzuri ya kimaisha na mwenye kuona mbelee..!! Km uko interested nichek kwa 0652835872
 
Nakuombea ila nakushauri tu kitu kimoja ama viwili
. Je unataka rafiki tu wa kawaida ama rafiki mpenzi mtakayekuja kuwa mume na mke? Kama ni rafiki tu hilo haliwezekani
.Usitegemee kupata mwenye full package ready made for you... Ni maono na mtazamo wako kuhusu maisha ndio vitamchagiza huyo rafiki muende sawa
 
Nahitaji kuwa na rafiki mmoja wa kike umri usizid 30 years mwenye focus nzuri ya kimaisha na mwenye kuona mbelee..!! Km uko interested nichek kwa 0652835872
Mkuu mbona unapupa hvo, kama unauza maembe
 
Back
Top Bottom