Rafiki wa kike

Rafiki wa kike

Pirate of Carribean

Senior Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
116
Reaction score
189
Mamboz. Natafuta rafik wakike wa kubadilishana nae nawazo, life sharing experience in defferent stuffs n others. AGE kunzia 18
Miak yangu ni 26. If ur intrested my pm ipo wazi.
 
Ona vijana wetu mnavyokosea hutaki rafiki wa kiume mwenzio ili akupe hayo ma experience ya maisha ?
Au unalenga ngono tu?
Mfano kuna kijana ana degree yake ya uchumi kwa sasa ana duka la kawaida na genge je hatoshi kukupatia experience ya maisha ?
Fikiri upya ulichoandika
 
C useme tu kama unatafuta dem mbona unazunguka sana
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom