Rafiki wa kiume aliye na nia ya kuwa MUME awe na imani ya Kikiristo

Rafiki wa kiume aliye na nia ya kuwa MUME awe na imani ya Kikiristo

Why mchaga tu?
Kwanini lazima awe na Umri wa miaka 35-45?
What if i am below 35years?
How old are you?
What is your professional?
 
Mchaga wa wapi?:A S-heart-2::glasses-nerdy::A S-heart-2:
 
All da best, ila ondoa hiyo dhana ya ukabila!! suala la dini its ok, but kwa kabila,,,,,,mmh!
 
ni pm tumalize hili suala "shimbonyi shafo clemeeee"
umetokea rombo makaptula au masuruali
 
Nona mimi nitakufa bila kuoa, maana sijaona hata siku moja m.kwere mwenzangu wa kike amejitokeza kutafuta mme. Ni wachaga tu!
 
Haya umenipata hebu nichek kwa emai mpeterm33@yahoo.com! Nipo serious ktk hili so dont ignore this.
 
kwa namna umejieleza sasa naelewa kwanini mpaka sasa hakuna mwanaume ametaka kuwa na wewe....
 
Lazma utakua shapeless tu idoubt?hadi leo unachagua makabila?na hilo swala la anayeweza kuishi popote wewe ndio unamuoa au?ila sishangai sana ndio zenu mamama wa kichaga mkisha ona mnazeeka mnataka kuoa vijana si ujana wenu mlikua mnatumia na nani?STUKA KJANA
 
Lazima utakuwa mmachame. Kwaheriiii

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
vigezo unavyo hitaji vyote ninavyo, ila mie ni mmachame. Na mie vigezo ninavyo hitaji toka kwako ni umri wako usipungue miaka 40 na uwe na Phd ,
 
Back
Top Bottom