Rafiki wa kiume aliye na nia ya kuwa MUME awe na imani ya Kikiristo

Niko jamvini natafuta rafiki wa kiume aliye serious kuwa mume, awe na imani ya kikristo hanywi pombe na havuti sigara, awe na miaka kati ya 35-45, awe na mtazamo wa kuishi kokote ila kuthamini na kupenda nyumbani bongo, ambaye hajawahi kuoa. Awe mchaga kwa kabila. Mimi ni mkristo, ni mchaga na ni mdada mcheshi, ninayejiheshimu tutakapowasiliana utapata kunifahamu mimi na familia niliyotokea na utadhibitisha hilo. Nitaweza kuwasiliana na walio makini tu.
Dhambi yako ya ukabila itakutafuna..tu wewe...duuh siamini up to this day kuna watu mpo nyuma kiasi hicho,,tribalism..no wonder age imekutupa kwa kuchagua chagua tu kabila enh...unapochagua sana unatoka kapa kwa taarifa yako..amini hivyo ova...
 
najua utakuwa umepata PM nyingi sasa mpaka sasa tena toka kwa hao wakristo na wachagga wenzio,umeonesha wazi wewe ni mdini na mkabila sana,hata ningekuwa mchagga nisengusubutu kukuoa mtu kama wewe
 
Dada hongera sana kwa uchaguzi huo kabila na dini ni mambo ya msingi sana.Mimi niliwahi kuoa mtutsi mlokole(FPCT) ndoa ya mahakamani mimi nikiwa mkatoliki aisee ndoa ilidumu miezi miwili tu hivyo ni vizuri ukaspecify ni mkristo wa namna gani sabath,catholic,protestant ,tabia zingine mnarekebishana ndani kwa ndani.mungu atakujibu endelea kuomba kwa bidii
 
Niko jamvini natafuta rafiki wa kiume aliye serious kuwa mume, awe na imani ya kikristo hanywi pombe na havuti sigara, awe na miaka kati ya 35-45, awe na mtazamo wa kuishi kokote ila kuthamini na kupenda nyumbani bongo, ambaye hajawahi kuoa. Awe mchaga kwa kabila. Mimi ni mkristo, ni mchaga na ni mdada mcheshi, ninayejiheshimu tutakapowasiliana utapata kunifahamu mimi na familia niliyotokea na utadhibitisha hilo. Nitaweza kuwasiliana na walio makini tu.

Mimi si mchaga ila ni Mlutheri mwenye umri wa miaka 46. Naweza fikiriwa?
 
Back
Top Bottom