Rafiki wa kiume

Rafiki wa kiume

Kwani shida iko wapi mkuu ili mradi kilichokusudiwa kipatikane
Shida ni kuwa siku hizi kumekuwa na matapeli wengi humu wakianzisha nyuzi kama hizi halaf baadae inagundulika kuwa ni mwanaume
 
Habari zenu members wa MMU,

Mimi ni mdada umri miaka 26 years mkristo ninafanya kazi (mkoani) kutokana na nature ya kazi yangu nipo busy sana mpaka nakosa muda wa kujumuika na watu baada ya kupitiapitia mirejesho baadhi humu nikaona wengine wamefanikiwa na mimi nikaona niweke wazi kinachonisumbua nikiamini kuwa nitampata muonekano wangu ni wa kawaida tuu.

Sifa za nimtakae umri miaka 32, awe hajawahi kuoa (ndoa) elimu kuanzia bachelor asiye vuta sigara, mlevi hapana kama ni pombe awe anakunywa kiasi, awe na kazi au shughuli yoyote ya kujikwamua kimaisha kwa maelezo zaidi pm nipo serious mizaha hapana.

Nawasilisha

Nitafute....
 
Ndiyo maana mnaangukia mikono isiyostahiki, nadhani maana ya mahusiano umeitafsiri vibaya
 
I really hope you’re happy, and I hope you find someone who values your love but above all I can only wish you to be happy with a guy who loves you a lot more than last one because you deserve it. I hope you choose well.

Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
 
Afadhali paulinary alinikata maana ilikuja kugundulika ni mwanaume...

Leo sitawaangusha aseeh. Wasalimie Tanga
Jf tutakoma, kwahiyo mdada kujidai kote kule kumbe ni dume!!? Na utakuta pale lilikua kijiweni stori za kumwaga huku anawachora tu wadau
 
Jf tutakoma, kwahiyo mdada kujidai kote kule kumbe ni dume!!? Na utakuta pale lilikua kijiweni stori za kumwaga huku anawachora tu wadau
Ni nooma
 
unasema wewe wa kawaida ndo nini? mweusi .mwembamba.mfupi.mrefu au mweupe au ukoje? hebu jielezee kwa kifupi.

Vile vile umtakaye pia vigezo dini .umbile.rangi .

nasubiri majibu yako
 
Ngoja nirudi kwenye card la clinic nione umri ntarudi!

brain is the beautiful part of the body.
 
Back
Top Bottom