Rafiki wa kiume

kama no sita imekushinda ni poa tu naiondoa ingine?
 
sawa nitakupata wapi uwe mjanja lakini?
 
Nina kaka yangu ni PM nikupe contact zake muwasiliane naona mnaendana kwa kila kitu.
 
Still waiting for the answer..............................................semper fidelis
Hahaha....Semper fi ehhh?!I like!Well nimepata mtu wa kunitafsiria ila kujibu naomba iwe kwa kikwetu.Nakubali kwa moyo mkunjufu ila unaweza kujikunja wakati wowote...nakukubali kwa moyo nusu ili usipokuwepo ule “utupu ndani ya moyo “ usinisumbue...na nnakupokea kwa mkono mmoja ili ukileta mchezo iwe rahisi kukutupa.
 
Another JF Multiple account . . . . .
 
Reactions: EMT
Kwa hiyo sisi weupe hatuna chetu hapa. Naona kama ni ubaguzi wa rangi tu hapa,,hata kwenye urafiki unabagua rangi!! All the best!
 

toka ulipo tolewa seal hadi 30yrs bado hujampata rafiki wa kukufaaa? Kama hivyo sio buree una kasoro tena kubwa tuu!
 

na huko kazini kwako umekosa hao rafiki wa kiume?
 
Naona wewe lengo lako ni kufurahisha tu hili jukwaaa! Ok, umefanikiwa kiasi fulani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…