Rafiki wa kiume

Kwanza amini wewe mwenyewe ni mzuri na mvuto unao..,ukiamini.. jambo lolote litakuwa lako..amen
Sasa ntaaminije kua ni mzuri wakati kila mtu wa karibu ananiaminisha kwamba sina?!
 

Wa namna hiyo itabidi umtafute MWANASESERE robotic um-program!

Dada: A certain level of disagreement is healthy in relationship. Kama mtakuwa mnakubaliana kwa kila kitu (unachotaka ndicho anachofanya) ina maana hakuna mtu wa pili hapo ila ni duplication ya wewe mwenyewe. Kama ndicho unahitaji kwa rafiki (yaani mtu sawa na wewe) company ya nini? Burudani/partnership inanoga strength ya mmoja inapo-cover mapungufu ya mwenzie (kama wewe ni mrefu rafiki awe mfupi -utamsaidia kuanika/kutundika nguo juu, nae atakusaidia kutoa viatu mvunguni), kama wewe ni mkali mwenzio awe mpole, kama wewe ni msemaji mwenzio awe msikilizaji, kama wewe unajua kufuatilia madeni mwenzio ajue kukopesha nk. nk. nk
 
Hahaha kakujibu sehemu...kasema uwe tu MJANJA.
Asante Lizzy, sikupaona, nikawa very frustrated! haya sasa, twende kazi maana kama kuna mjanja kuliko mimi basi ujanja wake utamuua... Sema Bebii, niku-pm sasa, nini?
 
Beb we unaonyesha ni control freak wa aina flani ndio maana uko single/lonely at 30 huwezi kunipangia eti kila j1 Mlimani city j2 beach,niwe Arsenal(which i am),nisiwe na GF nawe hutaki habari ya sarakasi. hapa JF majority ya wanaume f*ck on the first date unless you are having your period which means then definately on the second date.
 

We Liz vipi? Ndo umentema au? Kisa hako kaloya ambako hata hakana Tembocard?? Be serious bana!!
 
Mbona hukusema asiwe mwathirika au umesahau?
 
Pole sana kwa balaa ulilopata. wanaume wa sifa hizo utapata hakuna shaka. but tupe na madhaifu yako ili 2jue jinsi ya kukukubali au kuku tosa
 
Kwasheria yake hiyo anapaswa kuwatafuta mashoga ndio wanamfaa lkn kwa wanaume kamili bila ya kuchachua akili haikai sawa. au nadhani anaumwa akili
 
hata siwaelewi walah hebu lizy nisaidie
 

semper fidelis="always faithful" duh, mbona majibu yako ni staki nataka???ujue sisi wasukuma limoyo likishakudondokea ndo tayari kabisa kabisa,kwa hiyo naomba ukubali jumla jumla na si nusu nusu,karibu ndani ya sakafu ya moyo wangu,upate pumziko la moyo na mapenzi motomoto,karibu mtoto wa Ki unga ltd.
 
We Liz vipi? Ndo umentema au? Kisa hako kaloya ambako hata hakana Tembocard?? Be serious bana!!
Hahahhaah Mkirua unisamehe kaka yangu ila naona niende usukumani nikabadili mazingira.Alagu jana nikakusubiria hukutokea...au sijui ndo uliniona ukabadili mawazo!
 

I know...i know!!

Aisee kumbe wewe Msukuma ehhh?!Kwanza kabla sijakubali nikuulize hiyo sakafu ya moyo wako ina kapeti au ndo ntapigwa na baridi hapo mpaka nishangae?!
 
Hahahhaah Mkirua unisamehe kaka yangu ila naona niende usukumani nikabadili mazingira.Alagu jana nikakusubiria hukutokea...au sijui ndo uliniona ukabadili mawazo!

Aaaagh! foleni mtu wangu nilifika Grin Vyuu nikakuta gizaaa ngeleja keshafanza mambo yake No Lizz wala nini!
 
kwani hamkwenda jana huko red view lizzy?
 
Aaaagh! foleni mtu wangu nilifika Grin Vyuu nikakuta gizaaa ngeleja keshafanza mambo yake No Lizz wala nini!
Khaaa...sasa ulishindwa nini kuniPM nijue badala ya kuniweka pale mpaka jioni?!
 
Khaaa...sasa ulishindwa nini kuniPM nijue badala ya kuniweka pale mpaka jioni?!

Asa huko kuku PM ndo nin? Si wajua tunaotokea mndenyi mambo mengine mageni...... Usukumani wanasema Mashikolo maghenyi! Kuwa siriazi bana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…