Mkirua
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 5,647
- 2,505
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo Rombo basi...Rabeka!!
bebii,
Utavunjwa sana moyo! Naona ndiyo kwanza unaanza kujua maana ya kuishi!
Njoo Rombo basi...
Hiyo apo juu no 5 asiwe na mpenzi awe kama wewe mbona kwa kwa mwanamme huo utakua mtihani? au ndio unajitafutia mwenyewe? kwani ww yey kua na mpenzi wake kunakukera nn? ulitaka rafiki sio b/f, kwenye sifa hizo humu JF hakuna wala kwenye hizo sifa 12 basi no 5 sahau kabisa humu kuna marijali yakisawasawa.
Rombo ya girini viwu.....utanikuta nimevaa bulauzi ya njano...jinsi ya buluu...raba nyeusi na nywele nimenyoa.Natumai ukiniona hutorudi kinyume nyume.....Rombo ipi, Rombo Green View, Kimara au Rombo Mashati? Kama ni greenview nitakutambuaje?
mimi ni mwanamke nina miaka 30 ninatafuta rafiki wa kiume sio mpenzi wa mambo yafuatayo
1-jmosi tunaenda mlimani city kucheki movie--- movie za kuanzia saa nne usiku mpaka saa kumi ?
2-jpili kuogelea beach yeyote na kwenda church asubuhi-- hapa unaangalia msimamo wa kidini zaidi kama yuko committed na mungu..
3-kushauriana mambo ya maisha----- likiwemo plan za maisha ya baadae
4-asilieleze mambo ya kungonoka------ kwa baadae mtaelezana
5-asiwe na mpenzi awe single kiukweli kama mimi------ kwanini asiwe na mpenzi kama wewe unataka rafiki wa kawaida...luv luv luv
6-cost tutashare -- hapo sawa
7-awe na ka mvuto mrefu black mimi siko mzuri wala mbaya--- sifa mbadala mvuto wa nini hapa ni mpenzi unatafuta
8-awe na akili ya maisha- ok ok
9-awe mstaarabu mpole---- ok ok
10- mimi elimu yangu ni ya chuo kikuu (............)
11-awe available wkend zaid cause nafanya kazi(.......wakati wa mapumziko)
12 -napenda sana soka awe mpenzi wa arsenal na simba ------ *(....)*
thanx wana jf
Hahahahaaaa!! a great offer! Nsubiri apo sa kum na moja!!Rombo ya girini viwu.....utanikuta nimevaa bulauzi ya njano...jinsi ya buluu...raba nyeusi na nywele nimenyoa.Natumai ukiniona hutorudi kinyume nyume.....
Naona vigezo vyote nimeshindwa hadi hicho chenye red, nakushauri umueleze kakayo atakuwa anafaamimi ni mwanamke nina miaka 30 NIKO LONELY SANA JAMANI I WISH NIWE NA RAFIKI WA KUINJOY JAMANI.AWE SIRIAS JAMANI ninatafuta rafiki wa kiume sio mpenzi wa mambo yafuatayo
1-jmosi tunaenda mlimani city kucheki movie
2-jpili kuogelea beach yeyote na kwenda church asubuhi
3-kushauriana mambo ya maisha
4-asilieleze mambo ya kungonoka
5-asiwe na mpenzi awe single kiukweli kama mimi
6-cost tutashare
7-awe na ka mvuto mrefu black mimi siko mzuri wala mbaya
8-awe na akili ya maisha
9-awe mstaarabu mpole
10- mimi elimu yangu ni ya chuo kikuu
11-awe available wkend zaid cause nafanya kazi
12 -napenda sana soka awe mpenzi wa arsenal na simba
thanx wana jf
Hahahahaaaa!! a great offer! Nsubiri apo sa kum na moja!!
Ntakuwepo...Hahahahaaaa!! a great offer! Nsubiri apo sa kum na moja!!
Yaani masharti yote hayo utafikiri unanijua ndo ukaamua ku-paste sifa zangu hapo.But shida yangu moja tu, sintoweza kutekeleza kipengele # 4 halafu hapohapo eti niwe single,nsikudanganye ntakuibia tu dada yangumimi ni mwanamke nina miaka 30 NIKO LONELY SANA JAMANI I WISH NIWE NA RAFIKI WA KUINJOY JAMANI.AWE SIRIAS JAMANI ninatafuta rafiki wa kiume sio mpenzi wa mambo yafuatayo1-jmosi tunaenda mlimani city kucheki movie2-jpili kuogelea beach yeyote na kwenda church asubuhi3-kushauriana mambo ya maisha4-asilieleze mambo ya kungonoka5-asiwe na mpenzi awe single kiukweli kama mimi6-cost tutashare 7-awe na ka mvuto mrefu black mimi siko mzuri wala mbaya8-awe na akili ya maisha9-awe mstaarabu mpole10- mimi elimu yangu ni ya chuo kikuu11-awe available wkend zaid cause nafanya kazi12 -napenda sana soka awe mpenzi wa arsenal na simba thanx wana jf
Hahahahaaaa!! a great offer! Nsubiri apo sa kum na moja!!
Heeeee we embu acha kuniharibia...Kwani umeambiwa mtu akikaa UngaLTD hawezi kutoka?!Unga Ltd na Grini viyu wapi na wapi!??
Unga Ltd na Grini viyu wapi na wapi!??
Mi sitaki kutangaza maana hata wakware watajitokeza...navizia watu wa maana kama Mkirua wajitokeze ndo nionyeshe interest.Lizy kwani nawewe ulikuwa unatafuta?Ungeanzisha thread yako, ona sasa wewe umejipatia jitu na huyu mtoto katoka kapa!