Rafiki wa kubadilishana nae mawazo weekend hii

Rafiki wa kubadilishana nae mawazo weekend hii

alumn

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2018
Posts
2,370
Reaction score
3,163
Rafiki yeyote wa kike au wa kiume mstaarabu mcheshi, unakaribishwa weekend hii tukatembee maeneo tofauti tofauti hapa Dar. Kwa alie tayari karibu PM. Gharama zote mimi labda tu wewe uamue kwa utashi wako binafsi

Sifa zangu

-kijana mtanashati
-sijaoa
-najitegemea
 
Kwani mawazo yako yana shida gani hadi utake kubadilishana na mtu?

Ahahahaha duh wabongo bwana. Hayana shida mkuu ni kurefresh tu na marafiki wapya
 
Back
Top Bottom