Kabisa mwanaume timamu anaweza kuinuka kwenda outing ya kulipiwa na mwanaume mwenzie bila sababu? Sidhani
Sent using Jamii Forums mobile app
wanawake na wanaume ni tofauti mwanaume hawezi kubali kulipiwa tu kirahisi na mtu asiyemjua.
[emoji1787][emoji1787] huendi mbinguni mkuuKwani mawazo yako yana shida gani hadi utake kubadilishana na mtu?
Ni nyie wanawake.
Hahah mleta mada atakuwa anataka kichwa na ubongo kabisa
Nilikuwa huko juzi tu, fursa imenipita 😭😭Karibu maana nyie ndio mna tafakuri za maisha pana zaid. Nitafurahi kukuona pm