Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Enzi zetu kutongoza tu mwanamke ilikuaga shughuli pevu kabla ya kumpata, ila skuhizi maisha yamebadikika kwa kasi na technology imerahisisha kilakitu..😊
Hehehe...
Mzee itakuwa ulikuwa unatuma sana barua za mapenzi kwa wachuchu au zile za kumtuma mdogo mtu akuitie mchuchu...