Rafiki wa kuchat

Rafiki wa kuchat

fmwanda

Member
Joined
Dec 15, 2011
Posts
21
Reaction score
1
Now at A-town nnajitahidi kwa nguvu za majicho yangu kuangaza apa na kule ili nipate rafiki ama marafiki wa kike ambao tutapata kubadilisha maujanja ya namna maisha yanavyoenda.Ebu nifurahisheni kwa kunijibu mapema
 
unataka kuchat kuanzia kiunoni kwenda juu kichwani? Au kuanzia kiunoni kushuka chini miguuni?

Afu ntakupa jibu zuuri.
 
Tukutane kwa Nicky kesho. . . bili juu yako!
 
Toa namba zako kwenye magazeti. Kule utawapata wengi tu.
 
Hapa watakuyeyusha tu, wengi wanaojibu ni wa Dar. We tengeneza bango, livae kifuani na anza kukata mitaa ya A Town, utawapata tu
 
cjapendelea na hata hivyo cjataka mpenzi,kuchat hakuna mipaka ni kwa jinsia zote
 
Back
Top Bottom