Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
NotedSawa.
Hakukumbuka fadhilaKuna mjinga mmoja nilisoma nae o'level tukapotezana tukaja kukutana ukubwan kila mmoja akiwa muajiriwa wa serikali.alikua na matatizo mengi kazn kwake 7bu ya ulevi uliopindukia ikabidi nimfanyie mchakato akahamishwa kikazi nilipo.
Juzi Kati alipata visenti kdg akawa anakula maisha na wadada wa town..nilikua napita kwenda kwenye harakati zangu kumbe akaniona,alinipigia cm nikajumuike nae tupooze koo nikaona poa co kesi maana huko napokwenda pia ninafuata pombe. Kabla cjafika eneo la tukio vibaka wakanitait wakaamsha na wallet pamoja na cm..nilimuita jamaa pemben nikamuelekeza yaliyotokea nikamwambia kabla hatujaondoka niazime 10 elfu ili nichukue tax then Kesho yake nitamrudishia akasema haina shida ww ni ndg yng na pesa ninayo hivyo ondoa shaka.
Ckua na mzuka wa kunywa maana kwenye wallet nimepoteza Kadi za benk na vitambulisho muhm ikabd nimwambie niminyie hilo tenibo nikapumzshe kichwa cku ishaharibika...daaaah
Akajibu
" HELA CO MATAKO KWAMBA KILA MTU ANAYO" HELA NI KWAAJILI YA POMBE TU ILA SIWEZI KUMPA MTU.
nilishikwa na hasira ikabd niende Kwa jamaa mmoja akanisaidia bila kinyongo baada ya kumweleza yaliyonikuta na kumuelekeza napofanyia kazi...
Wiki moja imepita ananitafuta balaa eti kafukuzwa kwenye nyumba mke kamkimbia na watoto hivyo anaomba aje kukaa kwangu wakati ananiweka Sawa maana vitu vyake pia vimefungiwa Kwa kulimbikiza Kodi...nami nikamjibu
Nyumba yangu ni kwaajili yangu na familia yangu..nikafunga mlango akakaa Sana nje mwishowe anaondoka .. nimemblock kila mahali ctak tena urafiki nae anahangaika Kwa marafiki eti nimsamehe maana alipokua anakwama nilikua namsapoti tena bila kijitako kurejeshewa
Hivi kwa nn wanywa pombe wako tayari kununuliana pombe zote lakin si kwa kusaidiana kwenye hela ,wengi wao wako hivo,nashindwa kuwashangaa sanaKuna mjinga mmoja nilisoma nae o'level tukapotezana tukaja kukutana ukubwan kila mmoja akiwa muajiriwa wa serikali.alikua na matatizo mengi kazn kwake 7bu ya ulevi uliopindukia ikabidi nimfanyie mchakato akahamishwa kikazi nilipo.
Juzi Kati alipata visenti kdg akawa anakula maisha na wadada wa town..nilikua napita kwenda kwenye harakati zangu kumbe akaniona,alinipigia cm nikajumuike nae tupooze koo nikaona poa co kesi maana huko napokwenda pia ninafuata pombe. Kabla cjafika eneo la tukio vibaka wakanitait wakaamsha na wallet pamoja na cm..nilimuita jamaa pemben nikamuelekeza yaliyotokea nikamwambia kabla hatujaondoka niazime 10 elfu ili nichukue tax then Kesho yake nitamrudishia akasema haina shida ww ni ndg yng na pesa ninayo hivyo ondoa shaka.
Ckua na mzuka wa kunywa maana kwenye wallet nimepoteza Kadi za benk na vitambulisho muhm ikabd nimwambie niminyie hilo tenibo nikapumzshe kichwa cku ishaharibika...daaaah
Akajibu
" HELA CO MATAKO KWAMBA KILA MTU ANAYO" HELA NI KWAAJILI YA POMBE TU ILA SIWEZI KUMPA MTU.
nilishikwa na hasira ikabd niende Kwa jamaa mmoja akanisaidia bila kinyongo baada ya kumweleza yaliyonikuta na kumuelekeza napofanyia kazi...
Wiki moja imepita ananitafuta balaa eti kafukuzwa kwenye nyumba mke kamkimbia na watoto hivyo anaomba aje kukaa kwangu wakati ananiweka Sawa maana vitu vyake pia vimefungiwa Kwa kulimbikiza Kodi...nami nikamjibu
Nyumba yangu ni kwaajili yangu na familia yangu..nikafunga mlango akakaa Sana nje mwishowe anaondoka .. nimemblock kila mahali ctak tena urafiki nae anahangaika Kwa marafiki eti nimsamehe maana alipokua anakwama nilikua namsapoti tena bila kijitako kurejeshewa
Hawataki pesa zao ufanyie jambo la maanaHivi kwa nn wanywa pombe wako tayari kununuliana pombe zote lakin si kwa kusaidiana kwenye hela ,wengi wao wako hivo,nashindwa kuwashangaa sana
Kabisa...niliumia Sana kwakweli hasa mtu ambae ulimchukulia Kama ndg ukamsaidia Leo elfu kumi ikamtoa utu na kusahau yoooote ya nyuma.Hakukumbuka fadhila