Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Ukiwa karibu na mtu uliyemzidi kipato, utahisi 'element' za urafikiWacha waazimane magari.Baiskeli na Gari wapi na wapi?
Kweli kabisa mtaji wa tajiri ni watu na watu hao ni maskini na aliowazidi kipatoAta ukitaka ufanye biashara, kama utawatumia vizuri utasongambele
Nakubali 100%Wengi huwa tunakosea sana, hasa pale kipato kinapo ongezeka huwa tunawaacha wale wa tabaka la chini tuliokuwa nao pamoja, na kuambatana na tabaka la juu au linaloendana na hadhi yako kwa wakati ule.
Kwa ujumla, yule watabaka lako hawezi kamwe kuwa rafiki yako zaidi ya kuwa mshindani wako.
Na atakuwa na wewe tu, kama utaendelea kuwa kwenye hilo tabaka; ikitokea umeshuka, hautakuwa naye.
Kwa mantiki hiyo, rafiki wa kweli wa tajiri ni masikini.