Kweli kabisa,Lazma alishapiga mahesabu yake, na jinsi unavyobehave kwake akajua lazma utakubal tu, vinginevyo asingethubutu hata kukutongoza tena alipie na chumba kabisa mhhhh miamekudharau sana sana.Wala usimwambie mumeo, jipange mwenyewe ulimalize.ushamuonyesha vitu fulani bwana..ushaona wapi nzi anatua kusafi
sijawahi tembea nje ya ndoa much less hata nje ya uchumba. mi nimesema hivyo kwa maana kwamba angekua mtu wa mbali asietufahamu akantongoza ndo hapo ningemjuza kua mi ni mke wa mtu. shida ni huyu ambae anafaham fika kua mi ni mke wa rafikie. na hicho chumba ye ndo alinambia kwamba kachukua chumba maana anataka akaiseme hiyo shidake huko. kwa kuona mazingira hayo nikajua kua hana nia njema. ndio maana niliondoka.I feel you..had same feelings..haiwezekani hata kama mwanaume ni mkware vipi afanye hivyo alivyo fanya kama huyo mwanamke ajachangia kwa kiasi fulani...Fuata ushauri wa SMU jitizame unabehave vipi mbele za watu..haiwezekani kubehave anyhowUshauri wangu huyo dada aache ngono wakati ana stead relatioship..maelezo ya huyo dada yanaonyesha anatembea nje ya ndoa..anaposema afadhali angekuwa mtu wa mbali asiye na ukaribu na familia...my instinct inaniambia huyo rafiki wa mumewe anazo habari zake fulani kuhusu kutokuwa mwaminifu naye aliamua kutake chance..
Usimwambie mume wako alafu huyo rafiki akuchongee unamtaka ndo utajua kama ukweli ni mzuri au la!!Ila kama...narudia tena kama ungemjulisha mumeo shemejio anakuomba mkutane ingekua rahisi kumweleza yaliyojiri....kitendo tu cha kwenda kumwona rafikiye bila yeye kujua kinaweza mpa maswali mengi.
So jifunge kibwebwe umwambie kabla rafiki hajaanza kumwambia juzi nlikua na shemeji ujue...alikua anapita maeneo nikamwalika kinywaji.
kwahiyo ina maana angekuwa kama hapo kwenye bold ungempa, si ndiyo? Jichunguze utakuwa na matatizo
Jamani mi hata sielewielewi huyu kiumbe anataka nini. ni rafiki wa karibu sana na mume wangu. Amekua na tabia ya kutaka sana kunijulia khali.
nami kama shemeji namsabahi na namheshimu sana.
Mwenyewe kaoa, ana mtoto mmoja.
Sasa majuzi alinicall akasisitiza nimwone ana shida sana ya kuongea na mie. nikamwambia tungekwenda na Mr weekend, akakataa akadai shida yake ni siku hiyo hiyo. mi kwa heshima kabsaaa nkakubali nikijua ni shida ya kweli. nikajitoa job mapeema ili nikamwone.
Kufika alikosema nimkute nikakuta mwenzangu ashaanza kuutwika mtungi, kwa vile mi si mnywaji wa pombe nikaagiza maji yangu. Nkamuliza Shem kulikon? hakyanani mi sikuamini kama alimaanisha manake mshenzi yule eti na chumba alishalipia ili .... jamani jamani mi hata sijui nimwambie mume wangu au nifaneje manake nimekwazika sana kwa kweli. sina hata raha mie manake mtu bora hata angekua simjui au hana ukaribu na familia sasa huyu wako marafiki na ni mtu tunaemvalue kama rafiki kumbe ajenda zake mbovu.
kwa hali hii yani duuh sijui kwa kweli.
uko unaujua wewe bhana, hapa tunashauriana tusijawahi tembea nje ya ndoa much less hata nje ya uchumba. mi nimesema hivyo kwa maana kwamba angekua mtu wa mbali asietufahamu akantongoza ndo hapo ningemjuza kua mi ni mke wa mtu. shida ni huyu ambae anafaham fika kua mi ni mke wa rafikie. na hicho chumba ye ndo alinambia kwamba kachukua chumba maana anataka akaiseme hiyo shidake huko. kwa kuona mazingira hayo nikajua kua hana nia njema. ndio maana niliondoka.
unajua hawa ndo wale wanawake wakiona marafiki wa bwana zao wanakimbilia kioo kupandisha maziwa,kana kwamba haitoshi na vidalili vya ajabu ajabu wanatoa...weye huyu anaukichaa gani mpaka akodi na chumba kabisa!Kweli kabisa,Lazma alishapiga mahesabu yake, na jinsi unavyobehave kwake akajua lazma utakubal tu, vinginevyo asingethubutu hata kukutongoza tena alipie na chumba kabisa mhhhh miamekudharau sana sana.Wala usimwambie mumeo, jipange mwenyewe ulimalize.
... wanajidhalilisha to say the leastunajua hawa ndo wale wanawake wakiona marafiki wa bwana zao wanakimbilia kioo kupandisha maziwa,kana kwamba haitoshi na vidalili vya ajabu ajabu wanatoa...weye huyu anaukichaa gani mpaka akodi na chumba kabisa!
Kama alivyosema SMU hapo juu, inaelekea kuna shida/migogoro ya mara kwa mara ktk ndoa yako ambayo huyo shemeji yako anaijua na sasa anataka ku-take advantage. Pia inaonekana huyo shemeji yako anakujua kuwa wewe ni mrahisi (single click) ndo maana alichukua kabisa na chumba. Isitoshe inaonekana ulishawahi kuonyesha signs za kumpenda ndo maana ukakatisha mihadi na mr. wako ukaenda kumuona yeye bila kumjulisha mumeo.
unajua hawa ndo wale wanawake wakiona marafiki wa bwana zao wanakimbilia kioo kupandisha maziwa,kana kwamba haitoshi na vidalili vya ajabu ajabu wanatoa...weye huyu anaukichaa gani mpaka akodi na chumba kabisa!
... wanajidhalilisha to say the least
sometimes wanajipendekeza hadi wanaboa
Unavyosema "bora hata angekua simjui au hana ukaribu na familia sasa huyu wako marafiki na ni mtu tunaemvalue kama rafiki kumbe ajenda zake mbovu" unamaanisha kwamba angekuwa ni mtu ambaye huwa unawakubalia wakulambe wanaume ambao hawana relationship na familia yenuJamani mi hata sielewielewi huyu kiumbe anataka nini. ni rafiki wa karibu sana na mume wangu. Amekua na tabia ya kutaka sana kunijulia khali.nami kama shemeji namsabahi na namheshimu sana.Mwenyewe kaoa, ana mtoto mmoja.Sasa majuzi alinicall akasisitiza nimwone ana shida sana ya kuongea na mie. nikamwambia tungekwenda na Mr weekend, akakataa akadai shida yake ni siku hiyo hiyo. mi kwa heshima kabsaaa nkakubali nikijua ni shida ya kweli. nikajitoa job mapeema ili nikamwone. Kufika alikosema nimkute nikakuta mwenzangu ashaanza kuutwika mtungi, kwa vile mi si mnywaji wa pombe nikaagiza maji yangu. Nkamuliza Shem kulikon? hakyanani mi sikuamini kama alimaanisha manake mshenzi yule eti na chumba alishalipia ili .... jamani jamani mi hata sijui nimwambie mume wangu au nifaneje manake nimekwazika sana kwa kweli. sina hata raha mie manake mtu bora hata angekua simjui au hana ukaribu na familia sasa huyu wako marafiki na ni mtu tunaemvalue kama rafiki kumbe ajenda zake mbovu.kwa hali hii yani duuh sijui kwa kweli.
hakuna hata migogoro kwa kweli. mtu mwenyewe huwa sionani nae mara kwa mara. yee hutuma ujumbe wa salamu nami humjibu kwa nidhamu ipasayo. na hata hiyo kwenda kumwona ni kwavile alisisitiza alikua anashida sana na alitaka nimhelp. kwa ufupi tu ni kwamba kuna kipindi waliwahi kua na ugomvi na mkewe wakati akiwa mjamzito na nilimhelp kumsihi mkewe kumsamehe ( maana ilikua kesi mbaya ya kutembea na hg wao) sasa hata aliponiita kwa dharura nilijua ni jambo la kifamilia pia ndio maana sikusita kwenda kumsikiliza.
Nimeipenda hii style ya kiintelijensia...Dawa ya huyo nikumteka..
Beba ka voice recorder kwenye
Pocha la mkononi kutananae tena
Mrikodi halafu hapo ndio umkabidhi mumeo.
Maana kuna wanaume wengine huwaamin
marafiki zao kuliko wake zao. Sababu tu
Wamejuana kwa muda.
Hujamaliza vizuri kwani hujasema ulifanya nini baada ya kuambiwa. Chumba mlikitumia? Isijekuwa ali-perform poorly ndo maana umemleta Jamvini
halafu wakitaka kupewa nyama wanajibalaguza hapa...... wanajidhalilisha to say the least
sometimes wanajipendekeza hadi wanaboa
Jamani mi hata sielewielewi huyu kiumbe anataka nini. ni rafiki wa karibu sana na mume wangu. Amekua na tabia ya kutaka sana kunijulia khali.
nami kama shemeji namsabahi na namheshimu sana.
Mwenyewe kaoa, ana mtoto mmoja.
Sasa majuzi alinicall akasisitiza nimwone ana shida sana ya kuongea na mie. nikamwambia tungekwenda na Mr weekend, akakataa akadai shida yake ni siku hiyo hiyo. mi kwa heshima kabsaaa nkakubali nikijua ni shida ya kweli. nikajitoa job mapeema ili nikamwone.
Kufika alikosema nimkute nikakuta mwenzangu ashaanza kuutwika mtungi, kwa vile mi si mnywaji wa pombe nikaagiza maji yangu. Nkamuliza Shem kulikon? hakyanani mi sikuamini kama alimaanisha manake mshenzi yule eti na chumba alishalipia ili .... jamani jamani mi hata sijui nimwambie mume wangu au nifaneje manake nimekwazika sana kwa kweli. sina hata raha mie manake mtu bora hata angekua simjui au hana ukaribu na familia sasa huyu wako marafiki na ni mtu tunaemvalue kama rafiki kumbe ajenda zake mbovu.
kwa hali hii yani duuh sijui kwa kweli.
mkuu, it is the truth and nothing but the truthCheck Ur PM
halafu wakitaka kupewa nyama wanajibalaguza hapa...