Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,861
Kwa jinsi nlivyoisomasoma hii sredi mh siielewi! Aanze tu kukuomba bila sababu yoyote? Hebu jichungue kwanza wewe je katika ushemeji wenu hakuna namna ambayo umekuwa kama ukimwonyesha 'green light'? Hata kwa bahati mbaya ile ya 'ushemeji"? Pengine kaitafsifi ndivy sivyo! Maana nijuavyo mie mwanaume mwenye guts ya kufanya hayo ya shemejio ni yule asiyekufahamu vizuri.Kama sivyo basi chungua 'mumeo' anakuzungumzaje kwa huyo rafikiyek
...Mwj1 kuna mijanaume haina tu adabu, haijalishi wamzungumzaje mkeo nje...'marafiki' wa aina hii ni wanafiki tu.
Binafsi nachukulia ni dharau kwa ndoa yangu, iweje rafiki yangu amtongoze mke wangu? mbaya zaidi eti mke nae
alikwenda kwenye miadi bila kuniambia? It's not right...mke nae kachangia 'kutongozwa'
Ni sawa na mume ambaye yupo busy 'vichochoroni' na marafiki wa mkewe,...tabia chafu sana.
Kuna siri gani?