kijana mpambanaji
JF-Expert Member
- Mar 28, 2026
- 200
- 509
Nimepata funzo kubwa kwenye maisha, huwezi amini huyu ni rafiki yangu, kiasi hatuwezi pishana bila kusalimiana.
According to Micky jr, mtu WA michezo kadai kaka yangu kachaguliwa kuchezesha kombe la dunia, nimefurahi sana, kosa langu sikuomba contact, huwa si mtu wakujipendekeza, ila nilifanya kosa kubwa nalijutia sana.
Anaitwa dehane beida, siku nimemuona nilijua ni mMorocco sikumbuki kama tuliongea utaifa wake sidhani. Japo Sasa inasemekana si mmorroco.tulizungumza kwa kiingereza.
mwaka ule kaja kuchezesha fainali visiwani alikua nilipo kuwa nafanya kazi sehemu Fulani, huyu referee alifikia pale, nilikua mtu wa chini tu, lakini nilipata nafasi ya kukaa chini na huyu mtu tulipiga sana stori nilipata naye picha ya pamoja, kwa bahati mbaya simu Ile ilipataga shida sikuitengeneza nilitupa, kwa kweli ni mtu poa sana tuliongea mengi sana,
Jamaa yupo karibu sana na familia yake, kidogo tu kawasiliana nao, yani ukimpa kisogo kidogo tu kaingia online kuwajulia hali, muonekano wake akiwa kwenye simu au tv anaonekana mkubwa age go, ila ukiwa nae live bado kijana sana, hajisikii, Yani kwa sekunde tu nilimzoea, utazani tuna muda sana tumefahamiana.
Japo si shabiki sana kindaki wa soka, nilimsisitiza aibebe timu fulani ya hapa bongo, alicheka tu akatikisa kichwa, kuashiria hapana ye ni mtu wa fair play haki bin haki.
Naomba tumtakie Kila la kheri, ndugu yetu huyu, Niki kutana nae tena tamuomba ajiunge jf, ananikubali huenda atajumuika nasi. Go brother you make me proud, brother i congratulate you my bro, Africa is proud of you.