kijana mpambanaji
JF-Expert Member
- Mar 28, 2026
- 200
- 509
Asante kaka, iko hivi nikipishana nae mahala hawezi nipita, lazima atasimama anisalimu mkuu, niamini, au wewe ulitaka niwe nampigia simu tunacheka weee, no sipo hivo,mkuuNi rafiki yako, ni kama yako halafu huna haja namba yake.
Mbaya zaidi yeye mwnyw hakujui 😂
Sasa kuna utofauti gani na kuwajua wao wengine ambao huna ukaribu nao?
Nashukuru sana mkuu, nimefarijika sana, nataka achezeshe ligi kuu uingereza, kanionesha matumainiHongera sana
Kaka hapana sio siku moja nilikaa nae kama siku tatu mfululizo nadhani kitu ka hichoMtu mmekutana siku moja tu, keshakua rafiki?
Urafiki halisi hutegemea kuendana kwa tabia.
Ulipomuomba apendelee timu moja akakukatalia live bila chenga tayari ilionesha mna upishano mkubwa wa tabia.
Yeye anapenda haki, wewe una u simba na u yanga.
Hapana kaka haya maisha tu, tuombeane kheri kaka, binafsi alinikera, ila kufurahia mabaya yampate ni kuiangamiza familia yake piaNimefurahi refa wa kukodiwa na morocco kufutwa, huyo ni wa kupiga mawe
Naheshimu mawazo yako kaka, kibaya SI mtu wa chai, nipe pombe, ziwe nyingi za gharama kidogo nije na min mee tupate kwa pamoja huku tukipata nyama choma na kumcheki kaka yangu akichezesha mkuu, huwa si mtu wakujipendekeza, ninge omba contact, asinge ni nyima kwa tulipo fikia mazungumzo
Ungempigia huyo kipindi kil umepoteza mtaji angekusaidia.Nimepata funzo kubwa kwenye maisha, huwezi amini huyu ni rafiki yangu, kiasi hatuwezi pishana bila kusalimiana.
According to Micky jr, mtu WA michezo kadai kaka yangu kachaguliwa kuchezesha kombe la dunia, nimefurahi sana, kosa langu sikuomba contact, huwa si mtu wakujipendekeza, ila nilifanya kosa kubwa nalijutia sana.
Anaitwa dehane beida, siku nimemuona nilijua ni mMorocco sikumbuki kama tuliongea utaifa wake sidhani. Japo Sasa inasemekana si mmorroco.tulizungumza kwa kiingereza.
mwaka ule kaja kuchezesha fainali visiwani alikua nilipo kuwa nafanya kazi sehemu Fulani, huyu referee alifikia pale, nilikua mtu wa chini tu, lakini nilipata nafasi ya kukaa chini na huyu mtu tulipiga sana stori nilipata naye picha ya pamoja, kwa bahati mbaya simu Ile ilipataga shida sikuitengeneza nilitupa, kwa kweli ni mtu poa sana tuliongea mengi sana,
Jamaa yupo karibu sana na familia yake, kidogo tu kawasiliana nao, yani ukimpa kisogo kidogo tu kaingia online kuwajulia hali, muonekano wake akiwa kwenye simu au tv anaonekana mkubwa age go, ila ukiwa nae live bado kijana sana, hajisikii, Yani kwa sekunde tu nilimzoea, utazani tuna muda sana tumefahamiana.
Japo si shabiki sana kindaki wa soka, nilimsisitiza aibebe timu fulani ya hapa bongo, alicheka tu akatikisa kichwa, kuashiria hapana ye ni mtu wa fair play haki bin haki.
Naomba tumtakie Kila la kheri, ndugu yetu huyu, Niki kutana nae tena tamuomba ajiunge jf, ananikubali huenda atajumuika nasi. Go brother you make me proud, brother i congratulate you my bro, Africa is proud of you.
Haahahaaaa umenichekesha sana mkuu, huyo ni mtu wangu, sababu anampenda kuona nikifanikiwa sana, ndo mana nilikosea sana kuto kuchukua contact sema mimi, nilikua na ile mentality ya kua ataona najipendekeza kwake Yani kushobokaUngempigia huyo kipindi kil umepoteza mtaji angekusaidia.
Rindalilipona?Kaka hapana sio siku moja nilikaa nae kama siku tatu mfululizo nadhani kitu ka hicho
urafiki popote mkuu,na haitegemei mmejuana muda gani,wapo watu wanakutana na wanaanza urafiki/uchumba papo kwa hapoMtu mmekutana siku moja tu, keshakua rafiki?
Urafiki halisi hutegemea kuendana kwa tabia.
Ulipomuomba apendelee timu moja akakukatalia live bila chenga tayari ilionesha mna upishano mkubwa wa tabia.
Yeye anapenda haki, wewe una u simba na u yanga.
We jamaa wewe, stori zako huwa ni Linda tu, inaonekana ni mdau hahahah, kaka kijana ni mtaratibu Hana hizo inshu mkuu ila umenipa mashaka sana,mana mada zako usipo taja Linda sijui tuRindalilipona?
HahahahahaaaaaWe jamaa wewe, stori zako huwa ni Linda tu, inaonekana ni mdau hahahah, kaka kijana ni mtaratibu Hana hizo inshu mkuu ila umenipa mashaka sana,mana mada zako usipo taja Linda sijui tu
HahahaWe jamaa wewe, stori zako huwa ni Linda tu, inaonekana ni mdau hahahah, kaka kijana ni mtaratibu Hana hizo inshu mkuu ila umenipa mashaka sana,mana mada zako usipo taja Linda sijui tu