Rafiki yangu alijiua kisa mapenzi

Mapenzi yaacheni tu kunamda unaweza hisi moyo untaka kutoka maumivu unayosikia
 
Huyo James yupo Motoni na anaungua hapo hamna karma , kujiua Ni dhambi na haina msamaha
 
Leo kuna tukio la kinyama sana limetokea Rorya kata ya suba kijiji cha Isango,
Wivu wa mapenzi mme na mwanamke,

inavyosemekana mwanamke alikuwa akiongea na simu haijulikani kama alikuwa akiongea na mchepuko au lah...!

Mme wake kachukia panga kamkata titi mke wake likatoka likaanguka, akamkata mkono ukaanguka chini kamkata kichwani kisha tena kamkata shingoni na kwenye uke.
 
Daah..! Mapenz yanachangany na maumivu ya kuachwa na yule uliyempenda hayaelezeki nakumbuka ile ngoma ya kiba 'mapenz yanarun dunia.
 
Aisha natamani kujua yuko wapi na mzee wa mabus bado wapo wote ??
 
Hawa jamaa zenu wa kanda ya ziwa bhana
 
Labda mikoani dar kwenye pisi kali zote bado unalilia mapenzi
 
Sema labda tunatofautiana sijawahi kumuweka mtu yeyote rohoni sana ukienda kulia naenda kushoto,yaani principle yangu ukinipenda nakupenda na kinyume chake ni kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…