Rafiki yangu amemfuma mke wake na katoto kenye miaka 16

Dogo kabeba dude la kijeshi...
 
Yote tisa lazima utatue marinda ya hako katoto kajue ‘kula uliwe’
 
Dogo kabeba dude la kijeshi...
[emoji3]Kuna sikU niliwahi mtania Yule mdada, baba ake Yuko wapi akasema alimzalisha TU akamkimbia akiwa mwanafunzi.

Kipind icho alkua manyoni,
Na jamaa mwenyewe alkua Ni operator wa magreda Kulkua na mradi wa wachina wanajenga barabara.

Mama ake mzazi anauza vyakula pale kambini,

Ile kwenda kwenda pale kumsaidia mama,
ndo akazoeana na jamaa.

Alvopata mimba, ishu ikafahamika, jamaa akaanza kuwindwa.
Basi akatokomea kusikojulikana mpaka leo.

She's a single mother.
 
Alikua analipwa vicent nae vinamuwezesha kubadilisha menu. Umri huu hormones ziko active wanapenda kula hao. Akienda kwa mrs anapata hela ya mirinda na chipa kuku.
Kweli kabisa,
Mi mwnyw umri ule nlkua napenda Sana kula kula vitu vizur
 
Masikini pole zake, bila shaka haukuuliza kuhusu madini ya mtoto 😁
 
Kijana wa miaka 16 anakuwa kakomaa kabisa, kuna baadhi ya wazee nikikaa nao wanasema walioa wana miaka hiyo.

Kijana wa miaka 16 anaweza kumpa mimba mwanamke yeyote aliyeanza mzunguko wa mwezi.

Vilevile kuna rafiki yangu wa kike, aliwahi nitambulisha kwa rafiki zake wawili aliosoma nao wote shule moja sekondari, walipeana ujauzito form three wakiwa na miaka 16. Muda huo walikuwa wameshafikia miaka 24 hivi.
 
mtoa post jina lako linanipa taaswira ya uliyoyaandika.
 
Duh NDOA NGUMU beeeeeh..!!!

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…