kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,421
- 18,760
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We huoni unavyojichanganya mara mzigo anao wa maana mara tumekakuta hakana ndomWapi nimesema hivyo mkuu?
samahani mkuu Kuna watu walikua wanauliza maswali ya kijinga namimi nikawa nawajibu kijinga zaidiWe huoni unavyojichanganya mara mzigo anao wa maana mara tumekakuta hakana ndom
Tuliingilia ila tuliacha dogo ale kichapo kidogo
Haikuwa vizuri.....Tuliingilia ila tuliacha dogo ale kichapo kidogo
mkuu Kwani yeye alifanya vizuri?
Alikuwa anda 18, na amebakwa huyomkuu Kwani yeye alifanya vizuri?
huku kijijini miaka 16 wanaoa mkuu tena vimekomaa vinaingia kwenye mashimo marefu kutafuta dhahabu ambayo we mtu mzima ungeogopa
Sawa....huku kijijini miaka 16 wanaoa mkuu tena vimekomaa vinaingia kwenye mashimo marefu kutafuta dhahabu ambayo we mtu mzima ungeogopa
Sorry...Hii nayo inamashiko,ukute mume hajamgusa mda mrefu
Wanaume timizeni majukumu yenu hasa suala la unyumba hata kama maisha ni magumu lakini kubalance ni muhimu sio kila mtu anaweza kuvumilia
Wapi mkuu nimetoa comment ya kiume by the way mi ni mwanamke,mama wa watoto wawili na mme mmojaSorry...
We ni mwanamke au mwanaume.
Unakua post zako huwa sometimes nadhani your a man mara a woman...
Kama hii hapa umeandika "Wanaume timizeni..." Na avatar yako pia means your a woman.
Ila sometimes nafikiria ur a man..!!!
#YNWA
Wazo langu la kuja pm ndo limekufa hivyo..kumbe somebody's wife with two beautifull children.Wapi mkuu nimetoa comment ya kiume by the way mi ni mwanamke,mama wa watoto wawili na mme mmoja
Sorry.Wapi mkuu nimetoa comment ya kiume by the way mi ni mwanamke,mama wa watoto wawili na mme mmoja
Hapana Mkuu kwa nini?Sorry.
Ila pia unafanya Kazi jeshi fulani/lolote la nchi?
#YNWA