Rafiki yangu amemfuma mke wake na katoto kenye miaka 16

Rafiki yangu amemfuma mke wake na katoto kenye miaka 16

We huoni unavyojichanganya mara mzigo anao wa maana mara tumekakuta hakana ndom
samahani mkuu Kuna watu walikua wanauliza maswali ya kijinga namimi nikawa nawajibu kijinga zaidi
 
Hii nayo inamashiko,ukute mume hajamgusa mda mrefu
Wanaume timizeni majukumu yenu hasa suala la unyumba hata kama maisha ni magumu lakini kubalance ni muhimu sio kila mtu anaweza kuvumilia
Sorry...
We ni mwanamke au mwanaume.

Unakua post zako huwa sometimes nadhani your a man mara a woman...

Kama hii hapa umeandika "Wanaume timizeni..." Na avatar yako pia means your a woman.

Ila sometimes nafikiria ur a man..!!!

#YNWA
 
Kwahyo ulivyomfuma ukaanza kuuliza umri kwanza vipi ulitaka kumuandikisha kitambulisho cha NIDA
 
Sorry...
We ni mwanamke au mwanaume.

Unakua post zako huwa sometimes nadhani your a man mara a woman...

Kama hii hapa umeandika "Wanaume timizeni..." Na avatar yako pia means your a woman.

Ila sometimes nafikiria ur a man..!!!

#YNWA
Wapi mkuu nimetoa comment ya kiume by the way mi ni mwanamke,mama wa watoto wawili na mme mmoja
 
Back
Top Bottom