Rafiki yangu ana tatizo sugu la uume kusinyaa

Rafiki yangu ana tatizo sugu la uume kusinyaa

i see the point, hil nalo ni tatizo, how to overcome it?
Baada ya kujua tatizo ni lipi kati ya hayo au kama ni jingine,msaada wa kisaikolojia atapewa kulinganga na tatizo husika(specific problem).

Ila kwa kuanza,inabidi kumzoea mwenza,kumwamini na kujiamini pia.

Kuamini ktk kile unachokifanya kwamba ndivyo kilivyostahili kufanyika nk.
 
Baada ya kujua tatizo ni lipi kati ya hayo au kama ni jingine,msaada wa kisaikolojia atapewa kulinganga na tatizo husika(specific problem).

Ila kwa kuanza,inabidi kumzoea mwenza,kumwamini na kujiamini pia.

Kuamini ktk kile unachokifanya kwamba ndivyo kilivyostahili kufanyika nk.
Lkn jamaa amemzoe mwenza wake
 
Hiyo ni ishue ya kisaikolojia ipo kwa wanawake na wanaume,sema advantage ya mwanamke yeye ni shimo tu so huwezi jua ila walio wengi hua wanasema kabisa kua siku za mwanzoni hua hawasisimki kabisa,kwa wanaume tunapotaka kufanya mapenzi hua tunawaza vitu vingi na hivyo kupelekea dushe kulala kabla ya kazi,cha msingi zoeana kwanza na huyo binti,then hakikisha hata ukiwa naye mawazo ya ngono yanakua mbali sana,ili ianze kusimama mkiwa kwenye maandalizi,siyo binti anakuja kesho wewe unaanza kusimamisha leo..lazima dushe azingue
 
Je kabla ya kuoa alikua na tatizo hilo? Isije kua aliacha mwanamke walitoka nae mbali kabla hana kitu akamtosa na kuoa alienae sasa lazima ateseke,kuna watu wanalaana kali
iliwahi mkuta jamaa Yangu hii
 
hili tatizo lilishawahi nitokea huyo ana hypertension akapime zaidi atumie juisi ya komamanga anaweza pata matunda pale soko la kisutu ukishuka tu kwenye kituo cha mwendokasi kisutu fuata njia inayoenda sokoni ukianza ona matunda ulizia komamanga zinauzwa 1500 tunda moja ni dogo tu, asipoona madiliko kwa siku 10 aache dozi hii mie imenisaidia nachanganya na tikiti kila siku natumia.
 
Wakuu JF,

Kwanza kabisa habarini za miaka, nilipotea kwa sababu za mihangaiko ya hapa na pale. Nchi imegeuka na sasa ni kufanya kazi kwa bidii.

Lakini pamoja na yote haya, kuna rafiki yangu ana shida sugu ambayo inamfanyA ndoa yake iwe tete. Ni hivi, uume unasinyaa pale anapofikia kuuingiza kwenye uke, lakini kabla ya hapo huwa unasimama vizuri tu.

Hata akiwa anatembea, mara nyingi uume unasimama kweli kweli ikitokea. Ila akiwa faragha na mke wake akikiss, akimchezea na mpaka akiwa anamvua pichu, unasimama according tu yeye alivyonielezea, ila kitendo cha kutaka kuanza kuchomeka in, ndiyo ngoma inalala. Hivyo inabidi wakati wa kuuchomeka, mke wake anakuwa anaushikilia ili ajichomeke kwenye uke wake.

Inachukua muda kama hata masaa mawili, mpaka kuna wakati ndiyo unafanikiwa uume kuingia kwenye uke, then jamaa ndiyo anapiga Show, kama kawaida goli la kwanza ni dk 1 au 2 hivi. Baada ya hapo inabidi aanze tena, mambo yale yale, ikafika wakati ikabidi atafute michepuko mingine, hali ikawa ni hivyo hivyo the same.

Yaani nahuzunika kwamba jamaa ishu yake haiwezi ku penetrate mpaka ashikiwe na anayemfanya then ndiyo inaingia tena kwa tabu. Kula anakula vizuri, anafanya mazoezi safi, anapokuwa kwenye tendo mawazo yake yapo pale. Leo nimeona nitumie fursa kuwauliza, je tatizo ni nini? Ni seriously issue mpaka namuonea huruma.

Otherwise tuendelee kujenga nchi kwa uzalendo.
Hakuna namna hapo zaid ya kutegua tego hilo pili kama mlaji wa mirung aaachee kabisa vingnevyo ajiandae kisaikolojia tu kupigiwa
 
Nitamwambia mkuu, ila aliwahi kwenda hospitali, daktari akamcheka, akamwambia aondoe mawazo, aelekeze akili yake pale. Ikaishia hivyo.
Ameenda kwa daktari wa malaria anatakiwa atafute expert wa maswala ya uzazi
 
Back
Top Bottom