Rafiki yangu ana tatizo sugu la uume kusinyaa

Hiyo ni psychological issue... Atafute tiba ya kisaikolojia zaidi atapona atakuw sawa... Huyo jamaa ni mzima tena mzima kabisa suala hapo lipo kwenye ubongo wake na namna anavyolichukulia tendo
 
Hiyo ni psychological issue... Atafute tiba ya kisaikolojia zaidi atapona atakuw sawa... Huyo jamaa ni mzima tena mzima kabisa suala hapo lipo kwenye ubongo wake na namna anavyolichukulia tendo
Psychological issue!!! Labda pa kuanzia, unahic katika ubongo wake kuna shida gani?
 
Doh umepotea kweli

Mimi nina swali kabla hawajaoana mahusiano yao yalikuwaje sure ndio aliolewa bikra au aliolewa na jamaa kwa walokole jamaa akijificha Hali yake? !

Me nahisi hapo kuna ka mchezo ameizing

Uje na huku STORY: FUMANIZI LA UKUBWANI
 
Nitafute tushauriane ...0685580057,, situmii sana mitandao ...ila tatzo lake limegawika sehem mbili na nikimhoj maswala ntajua ..sis tunatibu kwa dawa za kisunna
 
Nitafute tushauriane ...0685580057,, situmii sana mitandao ...ila tatzo lake limegawika sehem mbili na nikimhoj maswala ntajua ..sis tunatibu kwa dawa za kisunna
Dawa za kissuna ni zp?
 
Dawa za kissuna ni zp?
Ni dawa alizoelekeza mtume ni za kiarabu na pia tunatumia za kihindi ....umesema hta ikisimama ana maliza DKK moja ?? ...hana nguvu pia ....ila ka n tatzo jinn tutajua pia .....ka atahitaji
 
Nguvu za kiume zimeanza kupungua.
Atumie viagra kuliamsha dude
 
Pôle bro. Mwambie anifuate Pm nimshauri.
Ni tatizo dogo la kisaikolojia
 
Wewe ndo msemaji wake? Au ndo ku-washwa washwa kusema
Mmeambukizwa roho mbaya, mwenzako akiwa na shida akakueleza kiume, unajitoa sadaka, ili upate njia ya kumsaidia. Maisha kusaidiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…