Emmanuel Robinson
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 1,856
- 1,793
Kwa hiyo umeona ukisema ni wewe ukaona tutakucheka? Ukaamua kimsingizia rafiki yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie anicheki lakini naishi mkoa wa Geita namba yangu ni 0743068912Rafiki yangu anahitaji mume.
SIFA ZA ANAYEMHITAJI;
Awe mkristo
Awe na Umri kuanzia miaka 43 na kuendelea.
Asiwe mlevi.
Awe na kazi kuajiriwa/ kujiajiri
Asiwe na zaidi ya watoto 2.
Mwenye uelewa.
Awe mkarimu.
Awe Mvumilivu
Awe na Nia ya DHATI&UHITAJI WA MKE( KUFUNGA NDOA)
SIFA ZA RAFIKI YANGU:
Amejiajiri
Ana mtoto mmoja
Muelewa
Mkristo
Mkarimu
Hatumii kilevi chochote zaidi ya mbege.
Ana umri wa miaka 41.
Karibu PM wewe mwenye vigezo.
Naomba upite kimyakimya ndio busara Kama huna neno la busara.