Rafiki yangu anaibiwa penzi



Mheshimiwa hapo itabidi uonane na "Mlinzi Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania". Sheikh Yahaya Hussein
 

Mie ndio maana mke wangu nimemwekea tego ukigusa unanga'nga'nia
 

Ni kweli Ndugu, SIMU za Mkononi Balaaa!!!!
 
mshauri amuwahi kumpa ujauzito vinginevyo
wenzake watamsaidia na hilo pia.

na kama wife hamegwi nje jamaa anaweza kuja ikana
mimba buree!
 
Mwambie rafiki yako aiset ktk bloototh bila mkewe kujua halafu anaweza kuretreave message zake (mkewe) zote kwa kutumia simu yake via bloototh! easy! good luck!
 
Je jamaa nae alishampatia simu yake acheck? mkuki mtamu kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.
 
Amwambie mkewe hisia hizo kama ulivyozileta hapa apewe majibu.

Kama hana mpango wa kujenga kuaminiana na mkewe - hiyo ndoa ipo mashakani.
 
.....Naombeni basi kama kuna mtu anajua jinsi au mahali anapoweza kuretrieve hizo message. Simu anayotumia ni ya kichina na line ni ya TIGO.
Please help cause this is serious na jamaa yupo kwenye hali mbaya.

Thanx.

Please, DON'T TRY THAT AT HOME. Kupekua simu ya mkeo si tabia njema sana, unaweza kufa siku si zako kwa presha. Kama huyo mdada ana cheat hilo suala haliwezi kijificha kabisa, jamaa atajua tu, ndipo atachukua hatua mwafaka. Ila suala la kuishi kwa hisia ni baya sana la linaweza kuzua mifarakano mibaya na kusambaratisha familia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…