kama ndoa ilikuwepo ya kiislam, walii gani aliyemtoa huyo binti?wakuu ndoa ilikuepo ya kiislam tatizo ilikua mwanaume hajafika kwa wakwe na mahari alikua hajalipa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama ndoa ilikuwepo ya kiislam, walii gani aliyemtoa huyo binti?wakuu ndoa ilikuepo ya kiislam tatizo ilikua mwanaume hajafika kwa wakwe na mahari alikua hajalipa
hapo kaka angu huyo rafk yko anahaki zte cz kwanza wao wawili walishardhia kuendlea na maisha,pili wazaz walirdhia,tatu wameshaish takriban miaka miwili ki2 ambacho kisheria 2naita presumption of marriage kwenye Sheria ya ndoa
kifungu cha 160(1&2) .mwambie aende mahakaman akafungue kesi ya madai ya ndoa juu ya ma2nzo ya mtoto ktk mahakama ya mwanzo,na akiona mambo yanazngua aappeal district court kwa ground kuwa hana uaminifu na maamuz ya mahakama ilyopta.
unaongea bila uhakika, hakuna registration talaka inatolewa kutoka wapi sasa...usajli wa ndoa si kigezo cha uhalali wa ndoa, zile mahakama za mwanzo vijijini mbon zinatoa talaka na hata za wilaya bila kuwa na proof ya registration? hata mahakama za mjini, presumption ina cover mazingira hayo ndio maana mahakama hutoa reliefs za kindoa, inaa-assume watu hao wameoana hata kama hawana vyeti,
ndoa ni muungano wa watu wa wili kiroho lakini ukija kidunia lazima registration iwepo ndipo itatambulika na sheria, ama la kama registration haipo na kuna mtu anataka kudhulumiwa mfano katika kugawana mirathi au mali basi presumption of marriage imewekwa na sheria kumuokoa. kama hakuna wa kudhulumiwa usijifariki kama hujafunga ndoa kuwa upo kwenye ndoa. mwenzio anaweza siku yeyote akapata mwingine akaoana naye kwa ndoa na wewe ukawa huna la kumfanya.amekuwahi.mind you, definition ya ndoa haiongelei vyeti wala sherehe, ndoa ni muungano wa watu wawili, wa hiari, mengine ni umaliziaji wa taratibu ambao si wa lazima kwa mfano katika ndoa za kimila