Rafiki yangu anasumbuliwa na shoga. Je, achukue hatua gani za haraka ?

Wewe mwenyewe hapo ni tatizo.

Ishu ya kisenge unailetaje humu?

Huyo jamaa yako kashindwaje kumtukana na kumchimba mikwara ya kumshitaki hadi aogope aache?

Ninyi mna mbinu nyingi sana za kushawishi, mojawapo ni hii ya kujiulizisha vimaswali vya kipumbaf pumbaf kuvuta attention ya hadhira ili wanaopenda mambo hayo wanasike.
 
Hata mm naisi jamaa angu anamuendekeza San huyu shoga ni kitambo tu aliniambia ila jana ndio imekuwa kali jamaa alipost picha yake dp shoga anamfTa na kumuambia kipara nimekumiss jmn"
Hajamwonyesha kuwa hataki us***
Mimi nilimwambia na akaona kabisa sitanii na baada ya hapo nikamblock.
Jamaa baunsa mrefu hata huwezi kumwazia
 
😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣♥️ Haya bhnaa nashuruku kwa matusi
 
huo ufirauni ni kama popo bawa my friends, ladies and gentlemen,

akikutembelea mara moja hatakama hajafanikiwa, ili akuache ni Lazima ujiexpose kwa ndugu, jamaa, marafiki na majirani...

na hata hiyo laana ya ufirauni iliyomtembelea rafiki yako kama sio wewe, bila kumuexpose huyo khanithi kwa jamii nzima inayowazunguka, nyote mtaishia kumla mkadhani ni siri, na matokeo yake sasa,
rasmi nyote mtakua mmejiunga kwenye jamii hiyo inayokua kwa kasi mno duniani.

ushirikina katika kutafuta mali nao naskia unachochea mambo hayo ya kifirauni japo sina uthibitisho 🐒
 
Huyo jamaa yako usikute ni wewe..

Hivi mbadhani wazungu waliweka block kwa ajiri ya kazi gani? Kumuentartain shoga ndo vielement vya ushoga hivyo, alafu serious mtu anakaa anauliza afanyeje
Mkuu siyo mm bhna haki vile naapa kwa mbele za mungu kuwa siyo mm ni jamaa angu shoga a namsumbua sna hadi kukosa amani kbsaa
 
Kaka siyo mm haki vile ni jamaa angu ndio anasumbuliwa na shoga mm siwez kula mashoga
 
Dada nakuheshimu sna sana tafadhali Acha kujihusisha na washenzi mm siwez kufira mashoga hata siku moja
Wewe una marafiki washenzi huko halafu unaniambia mimi najihusisha na washenzi.
Next time ushenzi wako baki nao huko huko usituletee hapa
 
Akamshtaki tu na ithibati ya mawasiliano ya usumbufu.
 
Hao ni wadau wanajuana, kitu ukiwa hupendi hata huhitaji ushauri wa mtu mwenyew tu anaetongoza ataona hapa pamoto anakuacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…