Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Sijakususa rafiki nakuja. Wa kupelekwa dawati ni huyu jamaaMambo?
Umenitosa na ninakupeleka dawati hadi kisomeke😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakususa rafiki nakuja. Wa kupelekwa dawati ni huyu jamaaMambo?
Umenitosa na ninakupeleka dawati hadi kisomeke😀😀
Kaka umewai kumla shogaYeye na huyo shoga wagee namba zangu
Ampelekee moto au muunganishe na BaltazarWakuu niwape pole kwa maafa yalioikumba nchi yetu kufatia kuporomoka kwa jengo la biashara mjini dar es Salaam mitaa ya kariakoo na pia natoa wito kwa vyombo kuharakisha uokozi ili watu walio chini wafikiwe haraka na wakutwe wako Hai
Sasa baada ya utangulizi huo niende kwenye mada kama nilivyo tajwa hapo juu
Ni hv nina jamaa angu na rfk angu pia ni muajiriwa katika ofisi ya Rais Tamisemi
Yey hana kipato kikubwa sna ila ana rfk ake ambae ni muajiri wa Taasisi kubwa ya fedha nchini ambae anafanya kaz moja ya wilaya flani ktk mkoa x wote wako mkoa mmoja
Sasa jamaa aliwai niambia kuwa jamaa ake ni pilau nikamkatalia ila baadae kaleta ushahid kwa jins jamaa anavyo msumbua jamaa angu wa tamisemi j hadi jamaa angu kakosa amani akidhani hii ni laaan gani hii hadi shoga amtake kwa nguvu na kutumia ushawish wa pesa ili jama akubali, a najiuliza inamana huyu shoga anamuona tu yeye haoni watu wengine
Week nzima iliyo pita jamaa shoga anamsumbua jamaa angu akitak akamle ndogo yake na jamaa shoga yuko tayari kulipia hotel kubwa ili jmaa wa tamisemi akamtindue vzr
Huyu shoga ana pesa ana familia pia ameajiriwa katk taasis kubwa ya pesa sijui amepatw na nn kwani ukimuona Uwez mdhania kuwa analiwa ndogo kwa pesa zake kwa gharama zake
Jamaa amaepnga kwenda kumshtaki kwa dawati la jinsi au kwa waziri gwajima ili aitwe akanywe na aache tabia ya kutumia katuma msg za hovyo kwemye simu ya jamaa kwani anamuahatarisha mausiano yake na mpenzi wake na anajuwa kbsa endapo atampiga itakuja julikana na heshima yake itashuka sna
Ananiomba ushauri ni hatua gani achukuwe for the first time anauliza je akifungua kesi police je kuna kesi hapo?
Nitatuma screen shot za shoga akimtongoza jamaa na kumuandikia msg za kipumbavu
Na kama kuna mtu anataka nmba za shoga huyu niko tayari kuwasilisha hapa hPa ili apigwe akanywe
Hata mm unahisi jama amekula lishoga had akipost picha anasema kipara nimekumissHao ni wadau wanajuana, kitu ukiwa hupendi hata huhitaji ushauri wa mtu mwenyew tu anaetongoza ataona hapa pamoto anakuacha.
Kwa uandishi huu huyo shoga ni wewe kabisaMkuu siyo mm bhna haki vile naapa kwa mbele za mungu kuwa siyo mm ni jamaa angu shoga a namsumbua sna hadi kukosa amani kbsaa
Sas mm siyo nilie tongozwa na shoga ni mshakaji wanguUngepeleka dawati la jinsia. Umenilazimisha kusoma maana macho hayana mpaka bango lako linashine
Aheri 😂Ngoja nirudi kwenye jukwaa la magari
Relax and calm down gentleman,Kaka siyo mm haki vile ni jamaa angu ndio anasumbuliwa na shoga mm siwez kula mashoga
So what? Sisi tufanyeje?Sas mm siyo nilie tongozwa na shoga ni mshakaji wangu
Hivi nini Huwa kinawapata Hawa watu?Afanye kumblock tu kila mahali na amwambie kwa uso wa kazi kuwa aache kumletea laana yake.
Mimi kuna mtu tuliwahi kuwa majirani. Ameoa ana mke na watoto wawili.
Kwa sababu tulikuwa tunapanga hapo kila mtu kuna muda alihama. Mimi nilihama 2019, ikapita miaka hiyo yite hatuwasiliani.
Mwanzoni mwa mwaka huu akanitafuta. Akaanzia mbali kweli kumbe ananipeleka kuniambia ye shoga anataka niwe basha wake.
Aisee jamaa nilimwambia asirudie tena kunipigia simu nikamblock kila mahali.
Amwambie akiwa ameweka uso wa kazi.
Pumbavu kbsaa kwa hyo mm nijianike hapa Hapn nashukuru mungu mm siyo shoga na halitatokea niwe pilau am gentleKwa uandishi huu huyo shoga ni wewe kabisa
Kidogo angalau.Sijakususa rafiki nakuja. Wa kupelekwa dawati ni huyu jamaa
Nami naamini hivi hivi, kijana kaamua kutangaza biashara yake kijanja, hovyo kabisaaaPumbavu kabisa unaeneza upuuzi wako kwa mwavuli wa eti rafiki wa jamaa yangu ! Jiwekee chupa kama unawashwa, sijui hiki kizazi kimelaaniwa ! Moderator futeni huu uzi !
Toa ushauri jins ya ku handle ishu kama hz huwenda yule kaka ako ndio shoga ana mtamani na huko huku hujui na tukana tuSo what? Sisi tufanyeje?
Acha upumbafu na demi wakoKidogo angalau.
Lakini huyo bingwa naye anatusumbua tu. Kutongozwa atongozwe yeye kisha anakuja kuomba conset kwetu...
Atupishe kidogo😀
Jinga sana hili jamaa. Anataka kutushirikisha dhambi zakeKidogo angalau.
Lakini huyo bingwa naye anatusumbua tu. Kutongozwa atongozwe yeye kisha anakuja kuomba conset kwetu...
Atupishe kidogo😀
Upumbavu wetu na Demi ndo unaimarisha yaliyoshindikana😀Acha upumbafu na demi wako
Nilishatoa ushauri. Wewe na huyo jamaa pelekeni vinyeo vyenu kwa mwambaToa ushauri jins ya ku handle ishu kama hz huwenda yule kaka ako ndio shoga ana mtamani na huko huku hujui na tukana tu